blob: ba691e77d57f7472936094882d657d8a3d356e51 [file] [log] [blame]
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1016765312371154165">Chrome haikuzimika kwa njia sahihi.</translation>
<translation id="130631256467250065">Mabadiliko yako yatatekelezwa utakapowasha upya tena kifaa chako.</translation>
<translation id="2147651015520127414">Chrome imethibitisha kuwa <ph name="ISSUER" /> ndiye mtoa cheti cha tovuti hii.</translation>
<translation id="2874156562296220396">Google Chrome imefanikishwa na mradi wa programu huria wa <ph name="BEGIN_LINK_CHROMIUM" />Chromium<ph name="END_LINK_CHROMIUM" /> na <ph name="BEGIN_LINK_OSS" />programu huria<ph name="END_LINK_OSS" /> zingine.</translation>
<translation id="3140883423282498090">Mabadiliko yako yataanza kufanya kazi wakati ujao utakapozindua Google Chrome.</translation>
<translation id="3444832043240812445">Ukurasa huu unaonyesha tu maelezo yako ya uharibifu wa hivi karibuni ukiwezesha <ph name="BEGIN_LINK" />kuripoti uharibifu<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="3875312571075912821">Ruhusu Chrome ifikie mtandao katika mipangilio ya kinga mtandao au
kingavirusi yako.</translation>
<translation id="4010643444566880169">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haujakamilisha kuweka mipangilio yake ya awali.</translation>
<translation id="4853578032408195113">Unaangalia ukurasa salama wa Google Chrome</translation>
<translation id="6011049234605203654">Nenda kwenye
menyu ya Chrome &gt;
<ph name="SETTINGS_TITLE" />
&gt;
<ph name="ADVANCED_TITLE" />
&gt;
<ph name="PROXIES_TITLE" />
na uhakikishe kuwa usanidi wako umewekwa kwenye "hakuna proksi" au "moja kwa moja."</translation>
<translation id="6341737370356890233">Nenda kwenye
menyu ya Chrome &gt;
<ph name="SETTINGS_TITLE" />
&gt;
<ph name="ADVANCED_TITLE" />
na uondoe tiki kwenye "<ph name="NO_PREFETCH_DESCRIPTION" />."
Ikiwa hili halitatatua tatizo, tunapendekeza uchague tena chaguo hili kwa utendaji ulioboreshwa.</translation>
<translation id="6855094794438142393">Nenda kwenye
menyu ya Chrome &gt;
<ph name="SETTINGS_TITLE" />
&gt;
<ph name="ADVANCED_TITLE" />
&gt;
<ph name="PROXIES_TITLE" />
&gt;
Mipangilio ya LAN
na uondoe tiki kwenye "Tumia seva ya proksi kwa LAN yako".</translation>
<translation id="8187289872471304532">Nenda kwenye
Programu &gt; Mapendeleo ya Mfumo &gt; Mtandao &gt; Uboreshaji &gt; Proksi na uondoe tiki kwenye proksi zozote ambazo zimechaguliwa.</translation>
</translationbundle>