blob: 921355afc8bef5f9dc8a2fdc561f7adaf118fe27 [file] [log] [blame]
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1337821341856692531">Hatua ya kuendelea bila kuweka nenosiri lako la sasa la Windows inaweza kusababisha upoteze maelezo kabisa.</translation>
<translation id="1383286653814676580">Inatumika kutekeleza ukurasa wa kuingia katika akaunti ya Mtoa Huduma za Vitambulisho vya Google.</translation>
<translation id="1894475569413661128">Ingia ukitumia akaunti yako ya kazini.</translation>
<translation id="2329184763010379754">Mtumiaji aliyefunga kompyuta hii ndiye tu anayeruhusiwa kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="2398071111662077301">Imeshindwa kupakia skrini ya Google ya kuingia katika akaunti kutokana na tatizo kwenye usakinishaji wako wa Chrome. Wasiliana na msimamizi wako.</translation>
<translation id="2469311484561825731">Imeshindwa kuingia katika akaunti yako ya kazini. Hakikisha kuwa kompyuta ina muunganisho wa Intaneti, kisha ujaribu tena.</translation>
<translation id="2679096858700291438">Umeweka nenosiri lisilo sahihi la Windows. Tafadhali jaribu tena.</translation>
<translation id="2831078752570172210">Akaunti yako imefungwa. Tafadhali wasiliana na msimamizi wako wa mfumo.</translation>
<translation id="2844349213149998955">Huruhusiwi kuingia ukitumia akaunti ya kibinafsi kwenye kifaa hiki. Tafadhali ingia ukitumia akaunti ya kazini.</translation>
<translation id="3306357053520292004">Mtumiaji wa kompyuta hii tayari alikuwa ameongezwa kwa kutumia akaunti hii. Ingia ukitumia akaunti nyingine.</translation>
<translation id="3926852373333893095">Watumiaji wa G Suite Enterprise tu ndio wanaruhusiwa kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="4057329986137569701">Hitilafu ya ndani imetokea.</translation>
<translation id="4267670563222825190">Haikupata mtumiaji wa Kikoa kwenye akaunti yako. Tafadhali wasiliana na msimamizi wako.</translation>
<translation id="4300229033992784001">Nenosiri la akaunti yako limebadilika. Tafadhali weka nenosiri lako la sasa la Windows ili usawazishe akaunti yako ya Windows na Akaunti yako ya kazini.</translation>
<translation id="4706454071748629324">Imeshindwa kuongeza mtumiaji mpya. Kompyuta hii inaruhusu tu mtumiaji mmoja kuwekwa kwa kutumia akaunti ya kazini.</translation>
<translation id="6033715878377252112">Kisaidizi cha Kitoa Utambulisho Unaotumia kwenye Google kwa ajili ya Windows</translation>
<translation id="6149399665202317746">Kitoa Utambulisho Unaotumia kwenye Google kwa ajili ya Windows</translation>
<translation id="6239180560789153226">Kifaa chako kinakosa maelezo ya kurejesha akaunti. Ingia katika akaunti ukitumia akaunti yako ya kazini ya Google.</translation>
<translation id="6312494990035843744">Huruhusiwi kuingia katika akaunti ukitumia akaunti ya kazini kwenye kikoa hiki. Jaribu akaunti tofauti.</translation>
<translation id="6463752215771576050">Imeshindwa kujumuisha kompyuta hii katika udhibiti wa biashara. Tafadhali ingia ukitumia akaunti nyingine ya kazini.</translation>
<translation id="6657585470893396449">Nenosiri</translation>
<translation id="6937049691815837345">Kifaa chako kinahitaji kuandikishwa katika udhibiti wa kifaa. Ingia ukitumia akaunti yako ya kazini ya Google.</translation>
<translation id="7209941495304122410">Weka Nenosiri la Windows</translation>
<translation id="7357241217513796177">Hakikisha una muunganisho wa mtandao na ujaribu tena.</translation>
<translation id="7536769223115622137">Ongeza akaunti ya kazini</translation>
<translation id="7856245195110636219">Haiwezi kuendelea bila kuweka nenosiri la sasa la Windows. Tafadhali wasiliana na msimamizi wa mfumo.</translation>
<translation id="8639729688781680518">Umesahau Nenosiri la Windows</translation>
<translation id="866458870819756755">Imeshindwa kuweka mtumiaji.</translation>
<translation id="8875753657315897487">Ingia ukitumia akaunti yako ya kazini</translation>
<translation id="8973975512230260387">Kipindi chako kimekwisha. Ingia ukitumia akaunti yako ya kazini kwenye Google.</translation>
<translation id="9055998212250844221">Akaunti ya mtumiaji iliyofunguliwa na Kitoa Utambulisho Unaotumia kwenye Google katika Windows</translation>
<translation id="9135619837062629367">Huruhusiwi kuingia katika akaunti nyingine ukitumia akaunti hii. Jaribu akaunti tofauti.</translation>
<translation id="998002716857524853">Ingia ukitumia akaunti yako ya kazini ya G Suite.</translation>
</translationbundle>