blob: 3890684c7f65047700a6829c2d62d77d4686dd03 [file] [log] [blame]
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1001534784610492198">Kumbukumbu ya kisanidi imevurugika au ni batili. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="1013290471399003443">Chrome ilithibitisha kuwa <ph name="ISSUER" /> ndiye mtoa cheti cha tovuti hii. Seva ilitoa maelezo sahihi ya Cheti cha Uwazi.</translation>
<translation id="1016765312371154165">Chrome haikuzimika kwa njia sahihi.</translation>
<translation id="103396972844768118">Maelezo muhimu kuhusu data yako ya Chrome</translation>
<translation id="1035334672863811645">ingia katika Chrome</translation>
<translation id="1061441684050139317">Chrome inahitaji idhini ya kufikia maikrofoni ili iishiriki na tovuti hii.</translation>
<translation id="1065672644894730302">Mapendeleo yako hayawezi kusomwa.
Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa.</translation>
<translation id="1073391069195728457">Chrome - Arifa</translation>
<translation id="1104959162601287462">Kuhusu &amp;Chrome OS</translation>
<translation id="110877069173485804">Hii ndiyo Chrome yako</translation>
<translation id="1225016890511909183">Chrome itahifadhi kwa usalama maelezo yako ili usihitaji kuyachapa tena, lakini bado utahitaji kudhibitisha msimbo wa usalama wa kadi yako kwa malipo siku za usoni.</translation>
<translation id="123620459398936149">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli ya siri unayotumia Kusawazisha.</translation>
<translation id="127345590676626841">Chrome husasisha kiotomatiki ili uwe na toleo jipya zaidi wakati wowote. Upakuaji huu unapokamilika, Chrome itajizima na kuwaka tena na utaanza kutumia.</translation>
<translation id="1302523850133262269">Tafadhali subiri Chrome inaposakinisha sasisho mpya za mfumo.</translation>
<translation id="1350930993895295930">Chrome imegundua tabia isiyo ya kawaida</translation>
<translation id="1393853151966637042">Pata usaidizi wa kutumia Chrome</translation>
<translation id="1399397803214730675">Kompyuta hii tayari ina toleo jipya zaidi la Google Chrome. Ikiwa programu haifanyi kazi, tafadhali sanidua Google Chrome na ujaribu tena.</translation>
<translation id="1434626383986940139">Programu za Chrome Canary</translation>
<translation id="1457721931618994305">Inasasisha Google Chrome...</translation>
<translation id="1469002951682717133">Kizinduzi cha Programu za Chrome</translation>
<translation id="1475773083554142432">Chrome itahifadhi nenosiri hili katika <ph name="SAVED_PASSWORD_LINK" /> na kulikumbuka wakati ujao utakapolihitaji.</translation>
<translation id="1480489203462860648">Ijaribu, tayari imesakinishwa</translation>
<translation id="1553358976309200471">Sasisha Chrome</translation>
<translation id="1587223624401073077">Google Chrome inatumia kamera yako.</translation>
<translation id="1619887657840448962">Ili kufanya Chrome salama zaidi, tumezima kiendelezi kinachofuata ambacho hakijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE" /> na huenda kimeongezwa bila ridhaa yako.</translation>
<translation id="163860049029591106">Anza kutumia Chrome OS</translation>
<translation id="1682634494516646069">Google Chrome haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:
<ph name="USER_DATA_DIRECTORY" /></translation>
<translation id="1698376642261615901">Google Chrome ni kivinjari cha wavuti kinachoendesha kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni ya kasi, thabiti, na rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi kwa kinga dhidi ya programu hasidi na hadaa iliyojengwa ndani ya Google Chrome.</translation>
<translation id="174539241580958092">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako kutokana na hitilafu ya kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="1759301979429102118">Maelezo kutoka kwa anwani zako yanaweza kukusaidia kujaza fomu kwa haraka zaidi katika Chrome.</translation>
<translation id="1759842336958782510">Chrome</translation>
<translation id="1773601347087397504">Pata msaada wa kutumia Chrome OS</translation>
<translation id="1818142563254268765">Chrome haikuweza kupata toleo jipya, kwa hivyo unakosa vipengele vipya vizuri na marekebisho ya usalama. Unahitaji kupata toleo jipya la Chrome.</translation>
<translation id="1877026089748256423">Toleo hili la Chrome limepitwa na wakati</translation>
<translation id="2077129598763517140">Tumia uongezaji kasi wa maunzi wakati unapatikana</translation>
<translation id="2084710999043359739">Ongeza kwenye Chrome</translation>
<translation id="2246246234298806438">Google Chrome haiwezi kuonyesha uhakiki wa kuchapisha wakati kionyeshi kilichojengewa ndani cha PDF kinakosekana.</translation>
<translation id="2252923619938421629">Saidia kuboresha Google Chrome kwa kuripoti mipangilio ya sasa</translation>
<translation id="225614027745146050">Karibu</translation>
<translation id="2286950485307333924">Sasa umeingia katika Chrome</translation>
<translation id="2290014774651636340">Funguo za API za Google zinakosekana. Baadhi ya utendaji wa Google Chrome utazimwa.</translation>
<translation id="2290095356545025170">Je, una hakika kuwa ungependa kusanidua Google Chrome?</translation>
<translation id="2316129865977710310">La, asante</translation>
<translation id="2334084861041072223">Hakimiliki <ph name="YEAR" /> Google Inc. Haki zote zimehifadhiwa.</translation>
<translation id="2346876346033403680">Awali mtu aliingia katika Chrome kwenye kompyuta hii kama <ph name="ACCOUNT_EMAIL_LAST" />. Iwapo hiyo sio akaunti yako, weka mtumiaji mwengine wa Chrome ili utenganishe maelezo yako.
Kuingia bila kujali kutaunganisha maelezo ya Chrome kama vile alamisho, historia, na mipangilio mingine kwenye <ph name="ACCOUNT_EMAIL_NEW" />.</translation>
<translation id="2397416548179033562">Onyesha Menyu ya Chrome</translation>
<translation id="2429317896000329049">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.</translation>
<translation id="2485422356828889247">Ondoa</translation>
<translation id="2576431527583832481">Chrome imekuwa bora! Toleo jipya linapatikana.</translation>
<translation id="2580411288591421699">Huwezi kusakinisha toleo la Google Chrome ambalo tayari linatumika. Tafadhali funga Google Chrome na ujaribu tena.</translation>
<translation id="2588322182880276190">Nembo ya Chrome</translation>
<translation id="2664962310688259219">Leseni za programu huria kwenye Chrome OS</translation>
<translation id="2665296953892887393">Saidia kuboresha Google Chrome kwa kutuma ripoti za kuacha kufanya kazi na <ph name="UMA_LINK" /> kwenda Google</translation>
<translation id="2669824781555328029"><ph name="FILE_NAME" /> inaweza kudhuru hali yako ya kuvinajri, kwa hivyo Chrome imeizuia.</translation>
<translation id="2681064822612051220">Usakinishi tatanishi wa Google Chrome ulipatikana kwenye mfumo. Tafadhali uondoe na ujaribu tena.</translation>
<translation id="2689103672227170538">Kiendelezi hiki kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome.</translation>
<translation id="2704356438731803243">Iwapo unapendelea kutenga data ya Chrome iliyopo, unaweza kuweka mtumiaji mpya wa Chrome kwa <ph name="USER_NAME" />.</translation>
<translation id="2748463065602559597">Unautazama ukurasa salama wa Google Chrome.</translation>
<translation id="2769762047821873045">Google Chrome sio kivinjari chako cha chaguo-msingi</translation>
<translation id="2770231113462710648">Badilisha kivinjari chaguo msingi kiwe:</translation>
<translation id="2871893339301912279">Umeingia kwenye Chrome!</translation>
<translation id="2997147809295888909">Chrome ilithibitisha kuwa <ph name="ISSUER" /> ndiye mtoa cheti cha tovuti hii. Seva haikutoa maelezo yoyote ya Cheti cha Uwazi.</translation>
<translation id="3037838751736561277">Google Chrome iko katika hali ya chini chini.</translation>
<translation id="3047079729301751317">Kuondoa <ph name="USERNAME" /> kutafuta historia, alamisho, mipangilio, na data zako nyingine kwenye Chrome zilizohifadhiwa kwenye kifaa hiki. Data iliyohifadhiwa katika Akaunti ya Google haitafutwa na inaweza kudhibitiwa kwenye <ph name="GOOGLE_DASHBOARD_LINK" />Dashibodi ya Google<ph name="END_GOOGLE_DASHBOARD_LINK" />.</translation>
<translation id="3080151273017101988">Endelea kuendesha programu zinazofanya kazi chini chini wakati Google Chrome imefungwa</translation>
<translation id="3089968997497233615">Kuna toleo jipya na salama la Google Chrome.</translation>
<translation id="3149510190863420837">Programu za Chrome</translation>
<translation id="3197823471738295152">Kifaa chako kimesasishwa.</translation>
<translation id="3282568296779691940">Ingia katika Chrome</translation>
<translation id="3360895254066713204">Msaidizi wa Chrome</translation>
<translation id="3396977131400919238">Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji imetokea wakati wa kusanidi. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="3398288718845740432">Ficha katika Menyu ya Chrome</translation>
<translation id="3451115285585441894">Inaongeza kwenye Chrome...</translation>
<translation id="345171907106878721">Jiongeze kwenye Chrome</translation>
<translation id="3612333635265770873">Kijenzi kilicho na jina sawa kimejulikana kuwa na ukinzani na Google Chrome.</translation>
<translation id="3622797965165704966">Sasa ni rahisi zaidi kutumia Chrome pamoja na Akaunti yako ya Google na kwenye kompyuta zinazoshirikiwa.</translation>
<translation id="3735758079232443276">Kiendelezi hiki "<ph name="EXTENSION_NAME" />" kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome.</translation>
<translation id="3738139272394829648">Gusa ili Utafute</translation>
<translation id="3784527566857328444">Ondoa Kwenye Chrome...</translation>
<translation id="3836351788193713666">Inakaribia kusasishwa! Funga na ufungue Google Chrome ili imalize kusasisha.</translation>
<translation id="3847841918622877581">Google Chrome inaweza itumie huduma za wavuti ili kuboresha utumizi wako wa kuvinjari.</translation>
<translation id="386202838227397562">Tafadhali funga madirisha yote ya Google Chrome na ujaribu tena.</translation>
<translation id="3870154837782082782">Google Inc.</translation>
<translation id="3881912906674381083">Chrome ilithibithisha kuwa <ph name="ISSUER" /> ndiye mtoa cheti cha tovuti hii. Seva ilitoa maelezo ya Cheti cha Uwazi, lakini Chrome haikutambua kumbukumbu zozote za Cheti cha Uwazi.</translation>
<translation id="3889417619312448367">Ondoa Google Chrome</translation>
<translation id="4042449298237264661">Kompyuta hii haitapokea tena sasisho za Google Chrome kwa sababu Windows XP na Windows Vista hazitumiki tena.</translation>
<translation id="4050175100176540509">Maboresho muhimu ya usalama na vipengele vipya vinapatikana katika toleo jipya.</translation>
<translation id="4053720452172726777">Dhibiti na ugeuze Google Chrome ikufae</translation>
<translation id="4147555960264124640">Unaingia katika akaunti ukitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Google Chrome. Data yako ya Chrome, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio mingine itahusishwa na <ph name="USER_NAME" /> daima . Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine. <ph name="LEARN_MORE" /></translation>
<translation id="4149882025268051530">Kisanidi kimeshindwa kufungua saraka. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="4167057906098955729">Unaweza kuona arifa zako zote kutoka programu za Chrome, viendelezi, na tovuti hapa.</translation>
<translation id="423410644998903704">Chrome inahitaji idhini ya kufikia ruhusa ili izishiriki na tovuti hii.</translation>
<translation id="4251615635259297716">Ungependa kuunganisha data yako ya Chrome kwenye akaunti hii?</translation>
<translation id="4309555186815777032">(inahitaji uanzishaji upya wa <ph name="BEGIN_BUTTON" />Chrome<ph name="END_BUTTON" />)</translation>
<translation id="4331809312908958774">Chrome OS</translation>
<translation id="4407807842708586359">Google Chrome OS</translation>
<translation id="4458285410772214805">Tafadhali toka na uingie tena ili mabadiliko haya yafanye kazi.</translation>
<translation id="4480040274068703980">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako kutokana na hitilafu wakati wa kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="4513711165509885787">Maelezo yako ya utozwaji yamehifadhiwa katika Chrome.</translation>
<translation id="4561051373932531560">Google Chrome inakuwezesha kubofya nambari ya simu kwenye wavuti na kuipigia simu kwa Skype!</translation>
<translation id="4567424176335768812">Umeingia katika akaunti kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" />. Sasa unaweza kupata alamisho, historia, na mipangilio yako mingine kwenye vifaa vyako vyote vilivyoingia katika akaunti.</translation>
<translation id="4631713731678262610">Ficha katika menyu ya Chrome</translation>
<translation id="4633000520311261472">Ili kufanya Chrome salama zaidi, tumezima baadhi ya viendelezi ambavyo havijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE" /> na ambavyo huendwa viliongezwa pasipo ridhaa yako.</translation>
<translation id="4700157086864140907">Google Chrome inaweza kutoa ukaguzi bora wa tahajia kwa kutuma unachocharaza katika kivinjari hadi kwenye seva ya Google, ikikuruhusu utumie teknolojia ya kukagua tahajia inayotumiwa na huduma ya Tafuta na Google.</translation>
<translation id="4728575227883772061">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Google Chrome haitumiki kwa sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena.</translation>
<translation id="473775607612524610">Sasisha</translation>
<translation id="4743926867934016338">Kubali na Utafute</translation>
<translation id="4754614261631455953">Google Chrome Canary (mDNS-In)</translation>
<translation id="4794050651896644714">Hifadhi maelezo katika Chrome</translation>
<translation id="4891791193823137474">Ruhusu Google Chrome iendeshe katika mandharinyuma</translation>
<translation id="4921569541910214635">Ungependa kushiriki kompyuta? Sasa unaweza kusanidi Chrome kama tu unavyoipenda.</translation>
<translation id="4925019873400497719">Chrome ilithibitisha kuwa <ph name="ISSUER" /> ndiye mtoa cheti cha tovuti hii. Seva ilitoa maelezo ya Cheti cha Uwazi, lakini hayakuwa sahihi.</translation>
<translation id="4953650215774548573">Weka Google Chrome iwe kivinjari chako chaguo-msingi</translation>
<translation id="4987308747895123092">Tafadhali funga madirisha yako yote ya Google Chrome (pamoja na yaliyo kwenye modi ya Windows) na ujaribu tena.</translation>
<translation id="4990567037958725628">Kanari ya Google Chrome</translation>
<translation id="5028489144783860647">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli siri yako ya Usawazishaji.</translation>
<translation id="5037239767309817516">Tafadhali funga madirisha yote ya Google Chrome na uianzishe upya ili mabadiliko haya yatekelezwe.</translation>
<translation id="5132929315877954718">Gundua programu, michezo, viendelezi na mandhari bora ya Google Chrome.</translation>
<translation id="5148419164691878332">Chrome itahifadhi nenosiri hili katika <ph name="SAVED_PASSWORDS_LINK" /> na kulikumbuka wakati utakapolihitaji.</translation>
<translation id="5170938038195470297">Wasifu wako huenda usitumike kwa sababu unatoka katika toleo jipya la Google Chrome.
Huenda baadhi ya vipengele visipatikane. Tafadhali bainisha saraka tofauti ya wasifu au tumia toleo jipya la Chrome.</translation>
<translation id="5204098752394657250">Sheria na Masharti za <ph name="TERMS_OF_SERVICE_LINK" />Google Chrome<ph name="END_TERMS_OF_SERVICE_LINK" /></translation>
<translation id="5251420635869119124">Walioalikwa wanaweza kutumia Chrome bila kuacha chochote nyuma.</translation>
<translation id="5253588388888612165">Ukishiriki kompyuta hii na <ph name="PROFILE_NAME" />, jiongeze kwenye Chrome ili uvinjari tofauti. Vinginevyo ondoa Akaunti yake ya Google.</translation>
<translation id="5328989068199000832">Jozi za Google Chrome</translation>
<translation id="5334545119300433702">Kijenzi hiki kinajulikana kwa kuwa na ukinzani na Google Chrome.</translation>
<translation id="5386244825306882791">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome au unapotafuta kutoka Sanduku Kuu.</translation>
<translation id="5430073640787465221">Faili yako ya mapendekezo imeharibika au ni batili.
Google Chrome haiwezi kufufua mipangilio yako.</translation>
<translation id="5453904507266736060">Ruhusu Google Chrome Iendeshe Katika Mandharinyuma</translation>
<translation id="5495581687705680288">Vijenzi vilipakia katika Google Chrome</translation>
<translation id="556024056938947818">Google Chrome inajaribu kuonyesha manenosiri.</translation>
<translation id="5563479599352954471">Tafuta kwa mguso mmoja tu</translation>
<translation id="5566025111015594046">Google Chrome (mDNS-In)</translation>
<translation id="5620765574781326016">Pata maelezo kuhusu mada zilizo kwenye tovuti bila kuondoka kwenye ukurasa.</translation>
<translation id="5626352146162055517">Kwa kawaida <ph name="SITE" /> hutumia usimbaji fiche ili kulinda maelezo yako. Chrome ilipojaribu kuunganisha kwenye <ph name="SITE" /> wakati huu, tovuti ilirudisha kitambulisho kisichokuwa cha kawaida na batili. Hili linaweza kutokea mvamizi anapojaribu kujifanya kuwa <ph name="SITE" />, au uchanganuzi wa kuingia katika Wi-Fi umeingilia muunganisho. Maelezo yako yangali salama kwa sababu Chrome ilisimamisha muunganisho kabla data yoyote haijabadilishwa.</translation>
<translation id="568643307450491754">Pata alamisho zako katika menyu ya Chrome au kwenye upau wa alamisho.</translation>
<translation id="573759479754913123">Kuhusu Chrome OS</translation>
<translation id="5749068826913805084">Chrome inahitaji idhini ya kufikia hifadhi ili ipakue faili.</translation>
<translation id="5785746630574083988">Kuzindua upya kwenye hali ya Windows 8 kutafunga na kuzindua upya programu zako za Chrome.</translation>
<translation id="5855036575689098185">Programu unayotumia kwenye kompyuta yako haioani na Google Chrome.</translation>
<translation id="5877064549588274448">Kituo kimebadilishwa. Zima na uwashe kifaa chako ili mabadiliko yaanze kutumika.</translation>
<translation id="5931853610562009806">Kwenye Mac, manenosiri yanaweza kuhifadhiwa kwenye Msururu wako wa kitufe na yanaweza kufikiwa au kusawazishwa na watumiaji wengine wa Chrome wanaoshiriki akaunti hii ya OS X.</translation>
<translation id="5940385492829620908">Wavuti, alamisho, na vitu vyako vingine vya Chrome vinapatikana hapa.</translation>
<translation id="5941830788786076944">Fanya Google Chrome iwe kivinjari chaguo-msingi</translation>
<translation id="597770749449734237">Huwasha mikato ya kibodi ya ziada ambayo ni muhimu kwa kutatua Google Chrome.</translation>
<translation id="6012342843556706400">Chrome inahitaji idhini ya kufikia mahali ili ipashiriki na tovuti hii.</translation>
<translation id="6014844626092547096">Sasa umeingia kwenye Chrome! Usawazishaji umezimwa na msimamizi wako.</translation>
<translation id="6049075767726609708">Msimamiaji kompyuta amesanidi Google Chrome kwenye mfumo huu na inapatikana kwa watumiaji wote. Google Chrome ya kiwango cha mfumo itachukua mahali pa usanidi wako wa kiwago cha mtumiaji sasa.</translation>
<translation id="6113794647360055231">Chrome imeboreshwa zaidi</translation>
<translation id="6169866489629082767"><ph name="PAGE_TITLE" /> - Google Chrome</translation>
<translation id="61852838583753520">Sasisha Chrome OS</translation>
<translation id="6235018212288296708">Sheria ya ndani ya Google Chrome ili kuruhusu trafiki ya mDNS.</translation>
<translation id="6236285698028833233">Google Chrome imekoma kusasisha na haiwezi kutumiwa tena na toleo hili la mfumo wako wa uendeshaji.</translation>
<translation id="629218512217695915">Tumia nenosiri lililozalishwa na Chrome</translation>
<translation id="6368958679917195344">Chrome OS imewezeshwa na programu ya ziada ya <ph name="BEGIN_LINK_CROS_OSS" />programu huria<ph name="END_LINK_CROS_OSS" />.</translation>
<translation id="6400076122676892962">Kompyuta hii itaacha kupokea sasisho za Google Chrome hivi karibuni kwa sababu Mac OS X 10.6, 10.7, na 10.8 hazitatumika tena.</translation>
<translation id="6470176598693778404">Kompyuta hii haitapokea tena sasisho za Google Chrome kwa sababu Mac OS X 10.6, 10.7, na 10.8 hazitumiki tena.</translation>
<translation id="6477562832195530369">{NUM_DOWNLOAD,plural, =1{Kipakuliwa kinaendelea kwa sasa. Unataka kughairi kipakuliwa na kuondoka Google Chrome?}other{Vipakuliwa # vinaendelea kwa sasa. Unataka kughairi vipakuliwa na kuondoka Google Chrome?}}</translation>
<translation id="6598387184982954187">Unatumia <ph name="PROFILE_EMAIL" /> kusawazisha vitu vyako kwenye Chrome. Ili usasishe mapendeleo yako ya usawazishaji au utumie Chrome bila akaunti ya Google, tembelea <ph name="SETTINGS_LINK" />.</translation>
<translation id="6600954340915313787">Imenakiliwa kwenye Chrome</translation>
<translation id="6626317981028933585">Yasikitisha, mipangilio ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kikiwa kinatumika. Kuingiza mipangilio hiyo kwa Google Chrome, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea.</translation>
<translation id="6634887557811630702">Google Chrome imesasishwa.</translation>
<translation id="6676384891291319759">Fika kwenye wavuti</translation>
<translation id="6757767188268205357">Usinisumbue</translation>
<translation id="683440813066116847">Sheria ya ndani ya Google Chrome Canary ili kuruhusu trafiki ya mDNS.</translation>
<translation id="6883876366448858277">hutuma neno na muktadha wake kwenye Tafuta na Google, kurejesha ufafanuzi, picha, na matokeo mengine ya utafutaji.</translation>
<translation id="6930860321615955692">https://support.google.com/chrome/?p=ib_chromeframe</translation>
<translation id="6970811910055250180">Inasasisha kifaa chako...</translation>
<translation id="6982337800632491844"><ph name="DOMAIN" /> huhitaji usome na ukubali Sheria na Masharti yafuatayo kabla ya kutumia kifaa hiki. Masharti haya hayapanui, kurekebisha au kupunguza Masharti ya Google Chrome OS.</translation>
<translation id="6989339256997917931">Google Chrome imesasishwa, lakini hujaitumia kwa angalau siku 30.</translation>
<translation id="699076943483372849">Tovuti hii inatumia programu-jalizi ya Fremu ya Chrome ambayo haipokei tena taarifa za usalama na uthabiti. Tafadhali iondoe na upate toleo jipya la kivinjari cha kisasa.</translation>
<translation id="6991142834212251086">Unganisha data yangu ya Chrome kwenye akaunti hii</translation>
<translation id="7060865993964054389">Kizinduzi cha Programu za Chrome</translation>
<translation id="7084448929020576097"><ph name="FILE_NAME" /> ni hasidi, na Chrome imeizuia.</translation>
<translation id="7098166902387133879">Google Chrome inatumia maikrofoni yako.</translation>
<translation id="7106741999175697885">Kidhibiti cha Shughuli - Google Chrome</translation>
<translation id="7125719106133729027">Chrome haikuweza kupata toleo jipya, kwa hivyo unakosa vipengele vipya vizuri na marekebisho ya usalama. Unahitaji kusakinisha Chrome upya mwenyewe.</translation>
<translation id="7161904924553537242">Karibu Google Chrome</translation>
<translation id="7164397146364144019">Unaweza kusaidia kuifanya Chrome kuwa salama na rahisi zaidi kutumia kwa kuripoti maelezo ya uwezekano wa matukio yasiyo salama kwa Google kiotomatiki.</translation>
<translation id="7185038942300673794"><ph name="EXTENSION_NAME" /> imeongezwa kwenye Chrome.</translation>
<translation id="7191567847629796517">Google Chrome OS haitumii kufungua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya <ph name="SCHEME" />. Kiungo kilichoombwa ni <ph name="PROTOLINK" />.</translation>
<translation id="7196020411877309443">Ni kwa kwa nini ninaona hii?</translation>
<translation id="7242029209006116544">Unaingia katika akaunti ykitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Google Chrome. Data yako ya Chrome, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio mingine itahishwa na <ph name="USER_NAME" /> daima. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine. Unaweza kuunda kwa hiari wasifu mpya ili kuweka data yako ya Chrome iliyo kando. <ph name="LEARN_MORE" /></translation>
<translation id="7282192067747128786">Chrome - Arifa (<ph name="QUANTITY" /> hazijasomwa)</translation>
<translation id="729375352412857283">Kompyuta hii itaacha kupokea sasisho za Google Chrome hivi karibuni kwa sababu Windows XP na Windows Vista hazitatumika tena.</translation>
<translation id="7339898014177206373">Dirisha jipya</translation>
<translation id="7398801000654795464">Uliingia kwenye Chrome kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" />. Tafadhali tumia akaunti sawa ili kuingia tena.</translation>
<translation id="7400722733683201933">Kuhusu Google Chrome</translation>
<translation id="7408085963519505752">Masharti ya Chrome OS</translation>
<translation id="7419046106786626209">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani katika kikoa chako.</translation>
<translation id="7436949144778751379">Google Chrome inahitaji Windows XP au mpya zaidi. Baadhi ya vipengele huenda visifanye kazi.</translation>
<translation id="7459554271817304652">Sanidi Usawazishaji ili kuhifadhi vipengele vyako vya kivinjari vilivyobinafsishwa kwenye mtandao na uvifikie kutoka Google Chrome kwenye kompyuta yoyote.</translation>
<translation id="7473136999113284234">Chrome husasisha kiotomatiki ili uwe na toleo jipya zaidi wakati wowote.</translation>
<translation id="7473891865547856676">La Asante</translation>
<translation id="7494905215383356681">Leseni za programu huria kwenye Chrome</translation>
<translation id="7592736734348559088">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.</translation>
<translation id="7626032353295482388">Karibu kwenye Chrome</translation>
<translation id="7747138024166251722">Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu.</translation>
<translation id="7761834446675418963">Bofya jina lako ili ufungue Chrome na uanze kuvinjari.</translation>
<translation id="7781002470561365167">Toleo jipya la Google Chrome linapatikana.</translation>
<translation id="7784335114585804598">Zima halafu uwashe Chrome katika hali ya Windows 8</translation>
<translation id="7787950393032327779">Wasifu unaonekana kuwa unatumika na mchakato mwingine wa Google Chrome (<ph name="PROCESS_ID" />) kwenye kompyuta nyingine (<ph name="HOST_NAME" />). Chrome imefunga wasifu huu ili usifisidiwe. Kama una uhakika hakuna michakato mingine inayotumia wasifu huu, unaweza kufungua wasifu na uzindue Chrome tena.</translation>
<translation id="7788788617745289808">Chrome inahitaji idhini ya kufikia kamera ili iishiriki na tovuti hii.</translation>
<translation id="7808348361785373670">Ondoa kwenye Chrome...</translation>
<translation id="781069973841903133">Kufungua upya katika hali pana ya Chrome kutafunga na kufungua upya programu zako za Chrome.</translation>
<translation id="7825851276765848807">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="7890208801193284374">Kama unatumia kompyuta pamoja na wengine, marafiki na familia wanaweza kuvinjari tofauti na kusanidi Chrome jinsi wapendavyo.</translation>
<translation id="7984945080620862648">Huwezi kutembelea <ph name="SITE" /> sasa hivi kwa sababu tovuti ilituma kitambulisho kilichoharibika ambacho Chrome haiwezi kuchakata. Hitilafu na uvamizi wa mtandao kwa kawaida huwa vya muda, kwa hivyo ukurasa huu huenda utafanya kazi baadaye.</translation>
<translation id="8000275528373650868">Google Chrome inahitaji Windows Vista au Windows XP iliyo na SP2 au ya juu zaidi.</translation>
<translation id="8005540215158006229">Chrome inakaribia kuwa tayari.</translation>
<translation id="8008534537613507642">Sakinisha Chrome Upya</translation>
<translation id="8030318113982266900">Inasasisha kituo chako kwenda kituo cha <ph name="CHANNEL_NAME" />...</translation>
<translation id="8032142183999901390">Baada ya kuiondoa akaunti yako kwenye Chrome, huenda ukahitajika kupakia upya vichupo vyako vilivyo wazi ili kuanza kufanya kazi.</translation>
<translation id="8037887340639533879">Hakuna usakinishi wa Google Chrome uliopatikana kusasishwa.</translation>
<translation id="8129812357326543296">Kuhusu &amp;Google Chrome</translation>
<translation id="8205111949707227942">Hiari: Saidia kuifanya Chrome OS kuwa bora kwa kutuma kiotomatiki takwimu za utumiaji na ripoti za kuvurugika kwa Google.</translation>
<translation id="8227755444512189073">Google Chrome inahitaji kufungua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya <ph name="SCHEME" />. Kiungo kilichoitishwa ni <ph name="PROTOLINK" />.</translation>
<translation id="8255190535488645436">Google Chrome inatumia kamera na maikrofoni yako.</translation>
<translation id="8274359292107649245">Fungua Chrome kwenye eneo-kazi</translation>
<translation id="8286862437124483331">Google Chrome inajaribu kuonyesha manenosiri. Chapa nenosiri lako la Windows ili uruhusu hili.</translation>
<translation id="8290100596633877290">Ho! Google Chrome imezimika. Ianzishe tena sasa?</translation>
<translation id="8406086379114794905">Saidia kuboresha Chrome</translation>
<translation id="8437332772351535342">Kuzindua upya kwenye hali ya Eneo-kazi kutafunga na kuzindua upya programu zako za Chrome.</translation>
<translation id="8460191995881063249">Kituo cha Chrome cha Taarifa</translation>
<translation id="853189717709780425">Unaingia kwa kutumia akaunti inayodhibitiwa na kutoa ruhusa msimamizi wake adhibiti wasifu wako kwenye Chrome. Data yako kwenye Chrome, kama vile programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine itasalia kabisa kwenye <ph name="USER_NAME" />. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti ya Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine.</translation>
<translation id="8540666473246803645">Google Chrome</translation>
<translation id="8547799825197623713">Canary ya Kizinduzi cha Programu ya Chrome</translation>
<translation id="8551886023433311834">Inakaribia kusasishwa! Anzisha kifaa chako upya kifaa ili kukamilisha kusasisha.</translation>
<translation id="8556340503434111824">Kuna toleo jipya linalopatikana la Google Chrome, na ni la kasi kuliko la awali.</translation>
<translation id="8568392309447938879">Unahitajika kuingia katika akaunti ya Chrome ili utumie programu hizi. Hii huruhusu Chrome kusawazisha programu zako, alamisho, historia, manenosiri na mipangilio mingine katika vifaa vyote.</translation>
<translation id="8614913330719544658">Google Chrome imelemazwa. Izindue upya sasa?</translation>
<translation id="8669527147644353129">Msaidizi wa Google Chrome</translation>
<translation id="8679801911857917785">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome.</translation>
<translation id="870251953148363156">Sasisha &amp;Google Chrome</translation>
<translation id="8811903091068364646">Zima halafu uwashe Chrome katika hali ya eneo-kazi</translation>
<translation id="8823341990149967727">Toleo hili la Chrome Limepitwa na Wakati</translation>
<translation id="884296878221830158">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome au unapobofya kitufe cha Mwanzo.</translation>
<translation id="8851136666856101339">kuu</translation>
<translation id="8862326446509486874">Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta.</translation>
<translation id="8889942196804715220">Fungua upya katika hali pana ya Chrome</translation>
<translation id="8987477933582888019">Kivinjari cha Wavuti</translation>
<translation id="9026991721384951619">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.</translation>
<translation id="9102715433345326100">Faili hii ni hasidi, na Chrome imeizuia.</translation>
<translation id="9107728822479888688"><ph name="BEGIN_BOLD" />Onyo:<ph name="END_BOLD" /> Google Chrome haiwezi kuzuia viendelezi kurekodi historia yako ya utafutaji. Ili kuzima kiendelezi hiki katika hali fiche, acha kuchagua hiari hii.</translation>
<translation id="911206726377975832">Futa historia yako ya kuvinjari pia?</translation>
</translationbundle>