blob: d0b6b5e28cca681bcdc4fadc5ef5897cf11e4659 [file] [log] [blame]
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1444443021901415601">Chrome hurekodi mada zinazokuvutia kulingana na historia yako ya kuvinjari ya hivi majuzi</translation>
<translation id="2252052615723281030">Wakati umeingia katika akaunti ya Chrome, mipangilio hii husaidia kulinda anwani yako ya IP kwa njia ya faragha. Iwapo Chrome inashuku kuwa huenda tovuti inakufuatilia, baadhi ya data yako inaweza kutumwa kupitia seva za faragha.</translation>
<translation id="235789365079050412">Sera ya Faragha ya Google</translation>
<translation id="2793385791865768072">Chromium hurekodi mada zinazokuvutia kulingana na historia yako ya kuvinjari ya hivi majuzi</translation>
<translation id="2979365474350987274">Vidakuzi vya washirika wengine vimedhibitiwa</translation>
<translation id="33479675708419823">Wakati umeingia katika akaunti ya Chrome, mipangilio hii husaidia kulinda anwani yako ya IP kwa njia ya faragha. Iwapo Chrome inashuku kuwa huenda tovuti inakufuatilia, baadhi ya data yako inaweza kutumwa kupitia seva za faragha. Pata maelezo zaidi kuhusu <ph name="LINK_BEGIN" />jinsi Ulinzi wa IP unavyofanya kazi<ph name="LINK_END" /></translation>
<translation id="3529311220178827364">Pata maelezo zaidi kuhusu kuficha anwani yako ya IP</translation>
<translation id="385051799172605136">Rudi nyuma</translation>
<translation id="4041687306270459969">Mada za matangazo ambazo umehifadhi kwa zaidi ya wiki 4 hufutwa kiotomatiki. Mada huwa vitu kama vile Michezo, Mavazi na vinginevyo</translation>
<translation id="4177501066905053472">Mada za matangazo</translation>
<translation id="4301151630239508244">Mada za matangazo ni mojawapo tu ya vitu vingi ambavyo tovuti inaweza kutumia ili kuweka mapendeleo katika matangazo. Hata bila mada za matangazo, bado tovuti zinaweza kukuonyesha matangazo lakini huenda yasikufae zaidi. Pata maelezo zaidi kuhusu <ph name="BEGIN_LINK_1" />kudhibiti faragha yako katika matangazo<ph name="END_LINK_1" />.</translation>
<translation id="4501357987281382712">Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi Google inavyolinda data yako kwenye <ph name="BEGIN_LINK" />Sera yetu ya Faragha<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="453692855554576066">Unaweza kuona mada zako za matangazo katika mipangilio ya Chromium na uzuie zile ambazo hungependa tovuti zifikie</translation>
<translation id="4598427486995631491">Ficha anwani yako ya IP</translation>
<translation id="4692439979815346597">Unaweza kuona mada zako za matangazo katika mipangilio ya Chrome na uzuie zile ambazo hungependa tovuti zifikie</translation>
<translation id="5413586988657235240">Tovuti unazotembelea zinaweza kuiomba Chromium mada ili zikuonyesha matangazo yanayokufaa huku ikilinda utambulisho na historia yako ya kuvinjari</translation>
<translation id="6053735090575989697">Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi Google inavyolinda data yako kwenye Sera yetu ya Faragha.</translation>
<translation id="6186536480878693792">Tovuti unazotembelea zinaweza kuiomba Chrome mada ili zikuonyeshe matangazo yanayokufaa huku ikilinda utambulisho na historia yako ya kuvinjari</translation>
<translation id="6195163219142236913">Vidakuzi vya washirika wengine vimedhibitiwa</translation>
<translation id="6371812158043974664">Wakati umeingia katika akaunti ya Chromium, mipangilio hii husaidia kulinda anwani yako ya IP kwa njia ya faragha. Iwapo Chromium inashuku kuwa huenda tovuti inakufuatilia, baadhi ya data yako inaweza kutumwa kupitia seva za faragha. Pata maelezo zaidi kuhusu <ph name="LINK_BEGIN" />jinsi Ulinzi wa IP unavyofanya kazi<ph name="LINK_END" /></translation>
<translation id="6398358690696005758">Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi Google inavyolinda data yako kwenye <ph name="BEGIN_LINK1" />Sera yetu ya Faragha<ph name="LINK_END1" />.</translation>
<translation id="7040031291654706261">Pata maelezo kuhusu <ph name="BEGIN_LINK" />jinsi ulinzi wa IP unavyofanya kazi<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="7475768947023614021">Kukagua mipangilio ya mada zako za matangazo</translation>
</translationbundle>