blob: 78cd6c60f570e5e1afff58cf7c0beb7e08c98d15 [file] [log] [blame]
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1001534784610492198">Kumbukumbu ya kisanidi imevurugika au ni batili. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="102763973188675173">Weka mapendeleo na udhibiti Google Chrome. Sasisho linapatikana.</translation>
<translation id="1051826050538111504">Kuna programu hatari kwenye kompyuta yako. Chrome inaweza kuiondoa, kurejesha mipangilio yako na kuzima viendelezi ili kufanya kivinjari chako kifanye kazi tena kama kawaida.</translation>
<translation id="1065672644894730302">Mapendeleo yako hayawezi kusomwa.
Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa.</translation>
<translation id="1088300314857992706"><ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" /> ilikuwa ikitumia Chrome awali</translation>
<translation id="1097330777386562916">Futa vidakuzi na data ya tovuti unapofunga Chrome</translation>
<translation id="110877069173485804">Hii ndiyo Chrome yako</translation>
<translation id="1125124144982679672">Ni nani anayetumia Chrome?</translation>
<translation id="1142745911746664600">Imeshindwa kusasisha Chrome</translation>
<translation id="1154147086299354128">na Fungua katika Chrome</translation>
<translation id="123620459398936149">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli ya siri unayotumia Kusawazisha.</translation>
<translation id="1293325835983155583"><ph name="MANAGER" /> inahitaji usome na ukubali Sheria na Masharti yafuatayo kabla ya kutumia kifaa hiki. Masharti haya hayapanui, hayarekebishi wala hayapunguzi Sheria na Masharti ya Mfumo wa Uendeshaji wa Google Chrome.</translation>
<translation id="1302523850133262269">Tafadhali subiri Chrome inaposakinisha sasisho mpya za mfumo.</translation>
<translation id="1355000804395496115">Tumia wasifu tofauti kwenye Chrome ili utenganishe shughuli za kuvinjari za binafsi na za kazini au za watu mbalimbali wanaotumia kifaa hiki</translation>
<translation id="137466361146087520">Google Chrome Beta</translation>
<translation id="1399397803214730675">Kompyuta hii tayari ina toleo jipya zaidi la Google Chrome. Ikiwa programu haifanyi kazi, tafadhali ondoa Google Chrome kisha ujaribu tena.</translation>
<translation id="1434626383986940139">Programu za Chrome Canary</translation>
<translation id="1513277449617685876">Ili utenganishe shughuli za kuvinjari za binafsi na za <ph name="NEW_USER" />, fungua wasifu mpya kwenye Chrome</translation>
<translation id="1553358976309200471">Sasisha Chrome</translation>
<translation id="1587223624401073077">Google Chrome inatumia kamera yako.</translation>
<translation id="1587325591171447154"><ph name="FILE_NAME" /> ni hatari, kwa hivyo Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="1597911401261118146">Ili uangalie kama manenosiri yako ni salama dhidi ya ufichuzi haramu wa data na matatizo mengine ya usalama, <ph name="BEGIN_LINK" />ingia katika akaunti kwenye Chrome<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="1619887657840448962">Ili kufanya Chrome salama zaidi, tumezima kiendelezi kinachofuata ambacho hakijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE" /> na huenda kimeongezwa bila ridhaa yako.</translation>
<translation id="162629503687514352">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome umeshindwa kusawazisha manenosiri yako.</translation>
<translation id="1628000112320670027">Pata usaidizi wa kutumia Chrome</translation>
<translation id="1662639173275167396">Mfumo wa uendeshaji wa Chrome unawezeshwa na <ph name="BEGIN_LINK_CROS_OSS" />programu huria<ph name="END_LINK_CROS_OSS" /> za ziada, jinsi ilivyo katika <ph name="BEGIN_LINK_LINUX_OSS" />Linux (Beta)<ph name="END_LINK_LINUX_OSS" />.</translation>
<translation id="1666409074978194368">Inaelekea kukamilisha usasishaji! Fungua Google Chrome tena ili ukamilishe usasishaji. Haitafungua upya madirisha fiche.</translation>
<translation id="1674870198290878346">Fungua Kiungo katika Dirisha Fiche la Chrome</translation>
<translation id="1682634494516646069">Google Chrome haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:
<ph name="USER_DATA_DIRECTORY" /></translation>
<translation id="1698376642261615901">Google Chrome ni kivinjari cha wavuti kinachoendesha kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni ya kasi, thabiti, na rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi kwa kinga dhidi ya programu hasidi na hadaa iliyojengwa ndani ya Google Chrome.</translation>
<translation id="1713301662689114961">{0,plural, =1{Chrome itafunguka upya ndani ya saa moja}other{Chrome itafunguka upya ndani ya saa #}}</translation>
<translation id="1734234790201236882">Chrome itahifadhi nenosiri hili kwenye Akaunti yako ya Google. Hutahitaji kulikumbuka.</translation>
<translation id="174539241580958092">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako kutokana na hitilafu ya kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="1759842336958782510">Chrome</translation>
<translation id="1786003790898721085">Hakikisha kwamba umeingia katika akaunti kwenye Chrome kwa kutumia <ph name="TARGET_DEVICE_NAME" /> yako kisha ujaribu kutuma tena.</translation>
<translation id="1812689907177901597">Kwa kuzima kipengele hiki, unaweza kuingia katika tovuti za Google kama vile Gmail bila kuingia katika akaunti ya Chrome</translation>
<translation id="1860536484129686729">Chrome inahitaji ruhusa ya kufikia kamera yako katika tovuti hii</translation>
<translation id="1873233029667955273">Google Chrome si kivinjari chako chaguomsingi</translation>
<translation id="1874309113135274312">Google Chrome Beta (mDNS-In)</translation>
<translation id="1877026089748256423">Toleo hili la Chrome limepitwa na wakati</translation>
<translation id="1919130412786645364">Ruhusu kuingia katika akaunti ya Chrome</translation>
<translation id="2063848847527508675">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome unahitaji kuzimwa na kuwashwa upya ili utumie sasisho.</translation>
<translation id="2094919256425865063">Ungependa kufunga Chrome?</translation>
<translation id="2120620239521071941">Hatua hii itafuta vipengee <ph name="ITEMS_COUNT" /> kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chrome ukitumia <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="2123055963409958220">Saidia kuboresha Chrome kwa kuripoti kuhusu <ph name="BEGIN_LINK" />mipangilio ya sasa<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="2151406531797534936">Tafadhali zima kisha uwashe Chrome sasa</translation>
<translation id="2246246234298806438">Google Chrome haiwezi kuonyesha uhakiki wa kuchapisha wakati kionyeshi kilichojengewa ndani cha PDF kinakosekana.</translation>
<translation id="2290014774651636340">Funguo za API za Google zinakosekana. Baadhi ya utendaji wa Google Chrome utazimwa.</translation>
<translation id="2290095356545025170">Je, una hakika kuwa ungependa kusanidua Google Chrome?</translation>
<translation id="2309047409763057870">Huu ni usakinishaji wa pili wa Google Chrome, na haiwezi kufanywa kuwa kivinjari chako chaguomsingi.</translation>
<translation id="2348335408836342058">Chrome inahitaji ruhusa ya kufikia kamera na maikrofoni yako katika tovuti hii</translation>
<translation id="234869673307233423">Chrome imeshindwa kukagua manenosiri yako. Jaribu tena baadaye.</translation>
<translation id="235650106824528204">Data yoyote ya Chrome inayozalishwa unapotumia wasifu huu (kama vile alamisho ulizoweka, historia, manenosiri na mipangilio mingine) inaweza kuondolewa na msimamizi wa wasifu huu wa kazini. <ph name="LEARN_MORE" /></translation>
<translation id="2429317896000329049">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.</translation>
<translation id="2467438592969358367">Google Chrome ingependa kuhamisha manenosiri yako. Andika nenosiri lako la Windows ili uruhusu shughuli hii.</translation>
<translation id="2485422356828889247">Ondoa</translation>
<translation id="2534507159460261402">Google Pay (imenakiliwa kwenye Chrome)</translation>
<translation id="2580411288591421699">Huwezi kusakinisha toleo la Google Chrome ambalo tayari linatumika. Tafadhali funga Google Chrome na ujaribu tena.</translation>
<translation id="2586406160782125153">Hatua hii itafuta data yako ya kuvinjari kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chrome ukitumia <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="2622559029861875898">Chrome imeshindwa kukagua masasisho. Jaribu kuangalia muunganisho wako wa Intaneti.</translation>
<translation id="2644798301485385923">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome</translation>
<translation id="2652691236519827073">Fungua Kiungo katika kichupo kipya cha Chrome</translation>
<translation id="2665296953892887393">Saidia kuboresha Google Chrome kwa kutuma ripoti za kuacha kufanya kazi na <ph name="UMA_LINK" /> kwenda Google</translation>
<translation id="2689103672227170538">Kiendelezi hiki kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome.</translation>
<translation id="2765403129283291972">Chrome inahitaji ruhusa ya kufikia maikrofoni yako katika tovuti hii</translation>
<translation id="2770231113462710648">Badilisha kivinjari chaguomsingi kiwe:</translation>
<translation id="2775140325783767197">Chrome imeshindwa kukagua manenosiri yako. Jaribu kuangalia muunganisho wako wa Intaneti.</translation>
<translation id="2799223571221894425">Funga na ufungue</translation>
<translation id="2847461019998147611">Onyesha Google Chrome katika lugha hii</translation>
<translation id="2857540653560290388">Inaanzisha Chrome...</translation>
<translation id="2871893339301912279">Umeingia kwenye Chrome!</translation>
<translation id="2885378588091291677">Kidhibiti cha Shughuli</translation>
<translation id="2888126860611144412">Kuhusu Chrome</translation>
<translation id="2926676257163822632">Ni rahisi kukisia manenosiri dhaifu. Iruhusu Chrome <ph name="BEGIN_LINK" />itunge na ikumbuke manenosiri thabiti kwa niaba yako<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="2929907241665500097">Chrome haijasasishwa, hitilafu fulani imetokea. <ph name="BEGIN_LINK" />Rekebisha matatizo ya sasisho la Chrome na masasisho ambayo hayakuwekwa.<ph name="END_LINK" /></translation>
<translation id="2969728957078202736"><ph name="PAGE_TITLE" /> - Kuingia katika Akaunti ya Mtandao - Chrome</translation>
<translation id="298099161970687941">Uliza Chrome inapofunguka</translation>
<translation id="3037838751736561277">Google Chrome iko katika hali ya chini chini.</translation>
<translation id="3059710691562604940">Kipengele cha Kuvinjari Salama kimezimwa. Chrome inapendekeza ukiwashe.</translation>
<translation id="3065168410429928842">Kichupo cha Chrome</translation>
<translation id="3080151273017101988">Endelea kuendesha programu zinazofanya kazi chini chini wakati Google Chrome imefungwa</translation>
<translation id="3089968997497233615">Kuna toleo jipya na salama la Google Chrome.</translation>
<translation id="3114643501466072395">Ili uangalie kama manenosiri yako mengine ni salama dhidi ya ufichuzi haramu wa data na matatizo mengine ya usalama, <ph name="BEGIN_LINK" />ingia katika akaunti kwenye Chrome<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="3127818369811890733">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome umeshindwa kusawazisha data yako.</translation>
<translation id="3149510190863420837">Programu za Chrome</translation>
<translation id="3360895254066713204">Msaidizi wa Chrome</translation>
<translation id="3379938682270551431">{0,plural, =0{Chrome itafunguka upya sasa hivi}=1{Chrome itafunguka upya baada ya sekunde 1}other{Chrome itafunguka upya baada ya sekunde #}}</translation>
<translation id="3395323229510056640">Pata usaidizi wa kutumia mfumo wa uendeshaji wa Chrome</translation>
<translation id="3396977131400919238">Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji imetokea wakati wa kusanidi. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="3398288718845740432">Ficha katika Menyu ya Chrome</translation>
<translation id="3434246496373299699">Chrome inaweza kukagua manenosiri unapoingia ukitumia Akaunti yako ya Google</translation>
<translation id="3451115285585441894">Inaongeza kwenye Chrome...</translation>
<translation id="345171907106878721">Jiongeze kwenye Chrome</translation>
<translation id="34857402635545079">Futa pia data kutoka Chrome (<ph name="URL" />)</translation>
<translation id="3503306920980160878">Chrome inahitaji kufikia maelezo ya mahali ulipo ili kuyashiriki na tovuti hii</translation>
<translation id="3533694711092285624">Hakuna manenosiri yaliyohifadhiwa. Chrome inaweza kukagua manenosiri yako unapoyahifadhi.</translation>
<translation id="3541482654983822893">Chrome imeshindwa kukagua manenosiri yako. Jaribu tena baada ya saa 24.</translation>
<translation id="3576528680708590453">Msimamizi wa mfumo unaotumia ameweka mipangilio ya Google Chrome ifungue kivinjari mbadala ili kufikia <ph name="TARGET_URL_HOSTNAME" />.</translation>
<translation id="3582972582564653026">Sawazisha na uweke mapendeleo kwenye Chrome katika vifaa vyako vyote</translation>
<translation id="3596080736082218006">{COUNT,plural, =0{Msimamizi wako anataka ufungue Chrome tena ili utumie sasisho}=1{Msimamizi wako anataka ufungue Chrome tena ili utumie sasisho. Haitafungua upya dirisha fiche.}other{Msimamizi wako anataka ufungue Chrome tena ili utumie sasisho. Haitafungua upya madirisha # fiche.}}</translation>
<translation id="3622797965165704966">Sasa ni rahisi zaidi kutumia Chrome pamoja na Akaunti yako ya Google na kwenye kompyuta zinazoshirikiwa.</translation>
<translation id="3718181793972440140">Hatua hii itafuta kipengee 1 kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chrome ukitumia <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="3735758079232443276">Kiendelezi hiki "<ph name="EXTENSION_NAME" />" kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome.</translation>
<translation id="3779473566290487688">Ili uweze kupokea taarifa za Google Chrome wakati ujao, utahitaji toleo la OS X 10.11 au toleo jipya zaidi. Kompyuta hii inatumia OS X 10.10.</translation>
<translation id="3780814664026482060">Chrome - <ph name="PAGE_TITLE" /></translation>
<translation id="386202838227397562">Tafadhali funga madirisha yote ya Google Chrome na ujaribu tena.</translation>
<translation id="3865754807470779944">Umesakinisha toleo la Chrome la <ph name="PRODUCT_VERSION" /></translation>
<translation id="3873044882194371212">Fungua kiungo katika dirisha fiche la Chrome</translation>
<translation id="3889417619312448367">Ondoa Google Chrome</translation>
<translation id="4050175100176540509">Maboresho muhimu ya usalama na vipengele vipya vinapatikana katika toleo jipya.</translation>
<translation id="4053720452172726777">Dhibiti na ugeuze Google Chrome ikufae</translation>
<translation id="4110895483821904099">Weka mipangilio ya wasifu wako mpya wa Chrome</translation>
<translation id="4143243756087420366">Jina na picha kwenye Chrome</translation>
<translation id="4147555960264124640">Unaingia katika akaunti ukitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Google Chrome. Data yako ya Chrome, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio mingine itahusishwa na <ph name="USER_NAME" /> daima . Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine. <ph name="LEARN_MORE" /></translation>
<translation id="4149882025268051530">Kisanidi kimeshindwa kufungua saraka. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="4191857738314598978">{0,plural, =1{Fungua Chrome upya ndani ya siku moja}other{Fungua Chrome upya ndani ya siku #}}</translation>
<translation id="4205939740494406371">Chrome imeshindwa kukagua manenosiri yako. Jaribu tena baada ya saa 24 au <ph name="BEGIN_LINK" />kagua manenosiri katika Akaunti yako ya Google<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="424864128008805179">Ungependa kuondoka kwenye Chrome?</translation>
<translation id="4251615635259297716">Ungependa kuunganisha data yako ya Chrome kwenye akaunti hii?</translation>
<translation id="4281844954008187215">Sheria na Masharti</translation>
<translation id="4293420128516039005">Ingia katika akaunti ili usawazishe na uweke mapendeleo kwenye Chrome katika vifaa vyako vyote</translation>
<translation id="4325083532956419387">Toleo la Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome</translation>
<translation id="4328355335528187361">Google Chrome Dev (mDNS-In)</translation>
<translation id="4331809312908958774">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome</translation>
<translation id="4335235004908507846">Chrome inaweza kukusaidia ulinde akaunti yako dhidi ya ufichuzi haramu wa data, viendelezi vibaya na zaidi</translation>
<translation id="4343195214584226067"><ph name="EXTENSION_NAME" /> imeongezwa kwenye Chrome</translation>
<translation id="4384570495110188418">Chrome imeshindwa kukagua manenosiri yako kwa sababu hujaingia katika akaunti</translation>
<translation id="4407807842708586359">Google Chrome OS</translation>
<translation id="4450664632294415862">Chrome - Kuingia katika Akaunti ya Mtandao - <ph name="PAGE_TITLE" /></translation>
<translation id="4458462641685292929">Kuna shughuli nyingine zinaendelea kwenye Google Chrome. Tafadhali jaribu tena baadaye.</translation>
<translation id="4480040274068703980">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako kutokana na hitilafu wakati wa kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="4521185804071812304">Si lazima: Tusaidie kuboresha utendaji na vipengele vya Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome kwa kutuma kiotomatiki data ya matumizi na uchunguzi kwa Google.</translation>
<translation id="4561051373932531560">Google Chrome inakuwezesha kubofya nambari ya simu kwenye wavuti na kuipigia simu kwa Skype!</translation>
<translation id="4567424176335768812">Umeingia katika akaunti kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" />. Sasa unaweza kupata alamisho, historia, na mipangilio yako mingine kwenye vifaa vyako vyote vilivyoingia katika akaunti.</translation>
<translation id="4571503333518166079">Nenda kwenye mipangilio ya arifa za Chrome</translation>
<translation id="459622048091363950">Chrome itakapopata idhini, tovuti zitaweza kukuomba idhini ya kufikia.</translation>
<translation id="4600710005438004015">Imeshindwa kupata toleo jipya la Chrome, kwa hivyo hutapata masasisho ya usalama na vipengele vipya.</translation>
<translation id="4631713731678262610">Ficha katika menyu ya Chrome</translation>
<translation id="4633000520311261472">Ili kufanya Chrome salama zaidi, tumezima baadhi ya viendelezi ambavyo havijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE" /> na ambavyo huendwa viliongezwa pasipo ridhaa yako.</translation>
<translation id="4728575227883772061">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Google Chrome haitumiki kwa sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena.</translation>
<translation id="4750550185319565338">Zima na uwashe Chrome tena ili uwashe <ph name="PLUGIN_NAME" /></translation>
<translation id="4754614261631455953">Google Chrome Canary (mDNS-In)</translation>
<translation id="4771048833395599659">Huenda faili hii ni hatari, kwa hivyo Chrome imeizuia.</translation>
<translation id="479167709087336770">Huduma hii hutumia kikagua tahajia sawa na kinachotumika kwenye Huduma ya Tafuta na Google. Maandishi unayoandika kwenye kivinjari yanatumwa kwa Google. Unaweza kubadilisha hali hii katika mipangilio wakati wowote.</translation>
<translation id="4891791193823137474">Ruhusu Google Chrome iendeshe katika mandharinyuma</translation>
<translation id="4895437082222824641">Fungua kiungo katika kichupo kipya cha Chrome</translation>
<translation id="4953650215774548573">Weka Google Chrome iwe kivinjari chako chaguomsingi</translation>
<translation id="495931528404527476">Katika Chrome</translation>
<translation id="4990567037958725628">Kanari ya Google Chrome</translation>
<translation id="5062123544085870375">Zima kisha uwashe mfumo wa uendeshaji wa Chrome</translation>
<translation id="5132929315877954718">Gundua programu, michezo, viendelezi na mandhari bora ya Google Chrome.</translation>
<translation id="5170938038195470297">Wasifu wako huenda usitumike kwa sababu unatoka katika toleo jipya la Google Chrome.
Huenda baadhi ya vipengele visipatikane. Tafadhali bainisha saraka tofauti ya wasifu au tumia toleo jipya la Chrome.</translation>
<translation id="5193136243808726294">Mfumo wa Uendeshaji wa Google Chrome hauwezi kufungua ukurasa huu.</translation>
<translation id="5251420635869119124">Walioalikwa wanaweza kutumia Chrome bila kuacha chochote nyuma.</translation>
<translation id="532046782124376502">Ilani: Google Chrome haiwezi kuzuia viendelezi kurekodi historia yako ya kuvinjari. Ili kuzima kiendelezi hiki katika hali fiche, batilisha chaguo hili.</translation>
<translation id="5386244825306882791">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome au unapotafuta kutoka Sanduku Kuu.</translation>
<translation id="5394833366792865639">Shiriki kichupo cha Chrome</translation>
<translation id="5430073640787465221">Faili yako ya mapendekezo imeharibika au ni batili.
Google Chrome haiwezi kufufua mipangilio yako.</translation>
<translation id="556024056938947818">Google Chrome inajaribu kuonyesha manenosiri.</translation>
<translation id="5566025111015594046">Google Chrome (mDNS-In)</translation>
<translation id="5655746611259367388">Unaweza kudhibiti Akaunti hii na Akaunti zingine za Google za <ph name="USER_NAME" /> ulizoongeza, kwenye sehemu moja katika <ph name="LINK_BEGIN" />Mipangilio<ph name="LINK_END" />.
Huenda ruhusa ulizozipa tovuti katika kivinjari cha Chrome na programu kutoka Google Play zikatumika kwenye akaunti zote.</translation>
<translation id="5657226924540934362">Ikiwa mipangilio haionekani kwenye ukurasa huu, angalia katika <ph name="LINK_BEGIN" />
mipangilio ya mfumo wa uendeshaji wa Chrome<ph name="LINK_END" /></translation>
<translation id="565744775970812598">Huenda <ph name="FILE_NAME" /> ni hatari, kwa hivyo Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="5678190148303298925">{COUNT,plural, =0{Msimamizi wako anataka ufungue Chrome tena ili utumie sasisho hili}=1{Msimamizi wako anataka ufungue Chrome tena ili utumie sasisho hili. Haitafungua upya dirisha fiche.}other{Msimamizi wako anataka ufungue Chrome tena ili utumie sasisho hili. Haitafungua upya madirisha # fiche.}}</translation>
<translation id="5686916850681061684">Dhibiti na uweke mapendeleo kwenye Google Chrome. Unahitaji kushughulikia jambo fulani. Bofya ili upate maelezo.</translation>
<translation id="5690427481109656848">Google LLC</translation>
<translation id="5715063361988620182">{SECONDS,plural, =1{Google Chrome itazimika na kuwaka tena baada ya sekunde 1}other{Google Chrome itazimika na kuwaka tena baada ya sekunde #}}</translation>
<translation id="573759479754913123">Kuhusu Chrome OS</translation>
<translation id="5795887333006832406"><ph name="PAGE_TITLE" /> - Toleo la Jaribio la Google Chrome</translation>
<translation id="5804318322022881572">Imeshindwa kuanzisha Chrome. Jaribu tena.</translation>
<translation id="5867197326698922595">Google Chrome inajaribu kubadilisha manenosiri.</translation>
<translation id="5895138241574237353">Zzima na uwashe</translation>
<translation id="5903106910045431592"><ph name="PAGE_TITLE" /> - Kuingia katika Akaunti ya Mtandao</translation>
<translation id="5940385492829620908">Wavuti, alamisho, na vitu vyako vingine vya Chrome vinapatikana hapa.</translation>
<translation id="5941830788786076944">Fanya Google Chrome iwe kivinjari chaguomsingi</translation>
<translation id="6070348360322141662">Kwa usalama wa ziada, Google Chrome itasimba data yako kwa njia fiche</translation>
<translation id="608006075545470555">Ongeza Wasifu wa Kazini kwenye kivinjari hiki</translation>
<translation id="6113794647360055231">Chrome imeboreshwa zaidi</translation>
<translation id="6169866489629082767"><ph name="PAGE_TITLE" /> - Google Chrome</translation>
<translation id="6173637689840186878"><ph name="PAGE_TITLE" /> - Toleo la Beta la Google Chrome</translation>
<translation id="61852838583753520">Sasisha Chrome OS</translation>
<translation id="6235018212288296708">Sheria ya ndani ya Google Chrome ili kuruhusu trafiki ya mDNS.</translation>
<translation id="6291089322031436445">Programu za Chrome Dev</translation>
<translation id="6291549208091401781">Tayari Google Chrome imesakinishwa kwa watumiaji wote kwenye kompyuta yako.</translation>
<translation id="6338556085225130112">Inasasisha Google Chrome</translation>
<translation id="6368958679917195344">Chrome OS imewezeshwa na programu ya ziada ya <ph name="BEGIN_LINK_CROS_OSS" />programu huria<ph name="END_LINK_CROS_OSS" />.</translation>
<translation id="6515495397637126556"><ph name="PAGE_TITLE" /> - Google Chrome ya Wasanidi Programu</translation>
<translation id="6566149418543181476">Inasasisha Google Chrome <ph name="PROGRESS_PERCENT" /></translation>
<translation id="6568793831116033768">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome</translation>
<translation id="6650333065969705433">Ili uweze kutumia Rosetta kucheza maudhui yaliyolindwa, ni lazima ufunge kisha ufungue Chrome.</translation>
<translation id="6676384891291319759">Fikia wavuti</translation>
<translation id="6679975945624592337">Ruhusu Google Chrome itumike Chinichini</translation>
<translation id="6750954913813541382">Ili kurekebisha makosa ya tahajia, Chrome hutuma kwa Google maandishi unayoandika kwenye kivinjari</translation>
<translation id="6755885556185485672">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuzima kwa njia sahihi.</translation>
<translation id="677276454032249905">Ungependa kufunga Chrome?</translation>
<translation id="683440813066116847">Sheria ya ndani ya Google Chrome Canary ili kuruhusu trafiki ya mDNS.</translation>
<translation id="6885412569789873916">Programu za Chrome Beta</translation>
<translation id="6943584222992551122">Data ya kuvinjari ya mtu huyu itafutwa kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data, ingia katika Chrome ukitumia <ph name="USER_EMAIL" />.</translation>
<translation id="6967962315388095737">Sheria ya kuingia ya Google Chrome Beta ili kuruhusu trafiki ya mDNS.</translation>
<translation id="6989339256997917931">Google Chrome imesasishwa, lakini hujaitumia kwa angalau siku 30.</translation>
<translation id="7054640471403081847">Hivi karibuni kompyuta yako itaacha kupokea sasisho za Google Chrome kwa sababu maunzi yake hayatumiki tena.</translation>
<translation id="7062128746136194023">Mzazi wako amezima "Ruhusa za tovuti, programu na viendelezi" kwenye Chrome. Huruhusiwi kuweka <ph name="EXTENSION_TYPE_PARAMETER" /> hii.</translation>
<translation id="7098166902387133879">Google Chrome inatumia maikrofoni yako.</translation>
<translation id="7106741999175697885">Kidhibiti cha Shughuli - Google Chrome</translation>
<translation id="7140653346177713799">{COUNT,plural, =0{Sasisho jipya la Chrome linapatikana na litaanza kutumika pindi utakapofungua tena.}=1{Sasisho jipya la Chrome linapatikana na litaanza kutumika pindi utakapofungua tena. Haitafungua upya dirisha fiche.}other{Sasisho jipya la Chrome linapatikana na litaanza kutumika pindi utakapofungua tena. Haitafungua upya madirisha # fiche.}}</translation>
<translation id="7155997830309522122">Iwapo ni hivyo, tafadhali badilisha nenosiri ulilohifadhi kwenye Chrome ili lilingane na nenosiri lako jipya.</translation>
<translation id="7242029209006116544">Unaingia katika akaunti ykitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Google Chrome. Data yako ya Chrome, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio mingine itahishwa na <ph name="USER_NAME" /> daima. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine. Unaweza kuunda kwa hiari wasifu mpya ili kuweka data yako ya Chrome iliyo kando. <ph name="LEARN_MORE" /></translation>
<translation id="7295052994004373688">Lugha hii inatumika kuonyesha Kiolesura cha Google Chrome</translation>
<translation id="7296210096911315575">Maelezo muhimu kuhusu usalama na matumizi</translation>
<translation id="7308322188646931570">Chrome inahitaji idhini ya kufikia hifadhi ili ipakue faili</translation>
<translation id="7339898014177206373">Dirisha jipya</translation>
<translation id="7398801000654795464">Uliingia kwenye Chrome kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" />. Tafadhali tumia akaunti sawa ili kuingia tena.</translation>
<translation id="7408085963519505752">Masharti ya Chrome OS</translation>
<translation id="7419046106786626209">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani katika kikoa chako.</translation>
<translation id="7423733001651488593">Hatua hii itafuta kabisa data yako ya kuvinjari kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data, ingia katika akaunti ya Chrome ukitumia</translation>
<translation id="7486227612705979895">Chrome itafikia Hifadhi yako ili kutoa mapendekezo kwenye sehemu ya anwani</translation>
<translation id="7535429826459677826">Google Chrome Dev</translation>
<translation id="7573289029918943991">Ili uone ikiwa kifaa chako kimesasishwa, nenda kwenye <ph name="LINK_BEGIN" />Mipangilio ya Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome<ph name="LINK_END" /></translation>
<translation id="7592736734348559088">Google Chrome haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.</translation>
<translation id="7626032353295482388">Karibu kwenye Chrome</translation>
<translation id="7629695634924605473">Chrome hukuruhusu ujue iwapo manenosiri yako yameathiriwa</translation>
<translation id="7641148173327520642">Msimamizi wa mfumo unaotumia ameweka mipangilio ya Google Chrome ifungue <ph name="ALTERNATIVE_BROWSER_NAME" /> ili kufikia <ph name="TARGET_URL_HOSTNAME" />.</translation>
<translation id="7651907282515937834">Nembo ya Chrome Enterprise</translation>
<translation id="7747138024166251722">Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu.</translation>
<translation id="7761834446675418963">Bofya jina lako ili ufungue Chrome na uanze kuvinjari.</translation>
<translation id="7777080907402804672">Ikiwa picha haina ufafanuzi muhimu, Chrome itajaribu kukuwekea. Ili kuweka ufafanuzi, tutatuma picha kwa Google. Unaweza kuzima mipangilio hii wakati wowote.</translation>
<translation id="7781002470561365167">Toleo jipya la Google Chrome linapatikana.</translation>
<translation id="7787950393032327779">Wasifu unaonekana kuwa unatumika na mchakato mwingine wa Google Chrome (<ph name="PROCESS_ID" />) kwenye kompyuta nyingine (<ph name="HOST_NAME" />). Chrome imefunga wasifu huu ili usifisidiwe. Kama una uhakika hakuna michakato mingine inayotumia wasifu huu, unaweza kufungua wasifu na uzindue Chrome tena.</translation>
<translation id="7801699035218095297">Google Chrome inajaribu kunakili manenosiri. Andika nenosiri lako la Windows ili uiruhusu.</translation>
<translation id="7808348361785373670">Ondoa kwenye Chrome...</translation>
<translation id="7825851276765848807">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="7855730255114109580">Google Chrome imesasishwa</translation>
<translation id="7890208801193284374">Kama unatumia kompyuta pamoja na wengine, marafiki na familia wanaweza kuvinjari tofauti na kusanidi Chrome jinsi wapendavyo.</translation>
<translation id="7896673875602241923">Kuna mtu aliingia katika Chrome kwenye kompyuta hii akitumia <ph name="ACCOUNT_EMAIL_LAST" />. Tafadhali ongeza wasifu mwingine wa Chrome ili utenganishe maelezo yako.</translation>
<translation id="7905891027772979035">Chrome imeshindwa kukagua viendelezi vyako. Jaribu tena baadaye.</translation>
<translation id="7930071585467473040">Google Chrome inajaribu kunakili manenosiri.</translation>
<translation id="7962410387636238736">Kompyuta hii haitapokea tena masasisho ya Google Chrome kwa sababu Windows XP na Windows Vista hazitumiki tena</translation>
<translation id="8008534537613507642">Sakinisha Chrome Upya</translation>
<translation id="8013993649590906847">Ikiwa picha haina ufafanuzi muhimu, Chrome itajaribu kukuwekea. Ili kuweka ufafanuzi, tutatuma picha kwa Google.</translation>
<translation id="8129812357326543296">Kuhusu &amp;Google Chrome</translation>
<translation id="8255190535488645436">Google Chrome inatumia kamera na maikrofoni yako.</translation>
<translation id="8286862437124483331">Google Chrome inajaribu kuonyesha manenosiri. Chapa nenosiri lako la Windows ili uruhusu hili.</translation>
<translation id="828798499196665338">Mzazi wako amezima "Ruhusa za tovuti, programu na viendelezi" kwenye Chrome. Huruhusiwi kuwasha <ph name="EXTENSION_TYPE_PARAMETER" /> hii.</translation>
<translation id="8290100596633877290">Ho! Google Chrome imezimika. Ianzishe tena sasa?</translation>
<translation id="8342675569599923794">Faili hii ni hatari, kwa hivyo Chrome imeizuia.</translation>
<translation id="8370517070665726704">Hakimiliki <ph name="YEAR" /> Google LLC. Haki zote zimehifadhiwa.</translation>
<translation id="840084489713044809">Google Chrome ingependa kuhamisha manenosiri yako.</translation>
<translation id="8433638294851456451">Ili uweze kutuma nambari kwa simu yako ya Android kutoka hapa, ingia katika akaunti kwenye Chrome ukitumia vifaa vyote viwili.</translation>
<translation id="8498858610309223613">Sasisho maalum la usalama wa Google Chrome limewekwa sasa hivi. Ifunge kisha uifungue sasa na tutarejesha vichupo vyako.</translation>
<translation id="8521348052903287641">Sheria ya kuingia ya Google Chrome Dev ili kuruhusu trafiki ya mDNS.</translation>
<translation id="8540666473246803645">Google Chrome</translation>
<translation id="8550334526674375523">Wasifu huu wa kazini ni tofauti kabisa na wasifu wako wa binafsi.</translation>
<translation id="8556340503434111824">Kuna toleo jipya linalopatikana la Google Chrome, na ni la kasi kuliko la awali.</translation>
<translation id="861359755029082151">Rosetta huiwezesha Chrome kucheza maudhui yaliyolindwa kwenye ukurasa huu.</translation>
<translation id="8614913330719544658">Google Chrome imelemazwa. Izindue upya sasa?</translation>
<translation id="861702415419836452">Chrome inahitaji ruhusa ya kufikia kamera yako ili iunde ramani ya 3D ya mazingira yako</translation>
<translation id="8625237574518804553">{0,plural, =1{Chrome itafunguka upya ndani ya dakika 1}other{Chrome itafunguka upya ndani ya dakika #}}</translation>
<translation id="8641606876632989680">Chrome itakuarifu ukiingia katika akaunti ukitumia nenosiri lililoathiriwa</translation>
<translation id="8669527147644353129">Msaidizi wa Google Chrome</translation>
<translation id="8679801911857917785">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome.</translation>
<translation id="870251953148363156">Sasisha &amp;Google Chrome</translation>
<translation id="873133009373065397">Google Chrome haijafaulu kubainisha wala kuweka kivinjari chaguomsingi</translation>
<translation id="8748242232968346981">Ungependa kufungua wasifu mpya wa binafsi kwenye Chrome?</translation>
<translation id="8823341990149967727">Toleo hili la Chrome Limepitwa na Wakati</translation>
<translation id="8834965163890861871">Google Chrome inajaribu kubadilisha manenosiri. Andika nenosiri lako la Windows ili uiruhusu.</translation>
<translation id="884296878221830158">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chrome au unapobofya kitufe cha Mwanzo.</translation>
<translation id="8862326446509486874">Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta.</translation>
<translation id="8907709077090383765">Ili uiwezeshe Chrome kucheza maudhui yaliyolindwa, unahitaji kusakinisha Rosetta. Ungependa kuisakinisha sasa?</translation>
<translation id="8914504000324227558">Zindua upya Chrome</translation>
<translation id="8922193594870374009">Ili uweze kutuma nambari kwa simu yako ya Android kutoka <ph name="ORIGIN" />, ingia katika akaunti kwenye Chrome ukitumia vifaa vyote viwili.</translation>
<translation id="8986207147630327271">Unaongeza wasifu wa kazini kwenye kivinjari hiki na unampa msimamizi wako uwezo wa kudhibiti wasifu huo wa kazini pekee.</translation>
<translation id="8999208279178790196">{0,plural, =0{Sasisho la Chrome linapatikana}=1{Sasisho la Chrome linapatikana}other{Sasisho la Chrome limekuwepo kwa siku #}}</translation>
<translation id="9026991721384951619">Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.</translation>
<translation id="9067395829937117663">Google Chrome inahitaji Windows 7 au toleo jipya zaidi.</translation>
<translation id="911206726377975832">Futa historia yako ya kuvinjari pia?</translation>
<translation id="9138603949443464873">Ili utumie mabadiliko uliyofanya, fungua Chrome upya</translation>
<translation id="919706545465235479">Sasisha Chrome ili uanze kusawazisha</translation>
<translation id="989369509083708165">Google Chrome ni kivinjari chako chaguomsingi</translation>
</translationbundle>