blob: fb817dcd3392f38891f834dccc39455b9794baaa [file] [log] [blame]
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1065672644894730302">Mapendeleo yako hayawezi kusomwa.
Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa.</translation>
<translation id="1115445892567829615">Chromium haikuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli siri yako ya Usawazishaji.</translation>
<translation id="1174473354587728743">Ungependa kushiriki kompyuta? Sasa unaweza kusanidi Chromium kama tu unavyoipenda.</translation>
<translation id="1185134272377778587">Kuhusu Chromium</translation>
<translation id="1221340462641866827">Chromium OS haihimili kuzindua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya <ph name="SCHEME" />. Kiungo kilichoombwa ni <ph name="PROTOLINK" />.</translation>
<translation id="1293235220023151515">Usakinishi tatanishi wa Chromium ulipatikana kwenye mfumo. Tafadhali uondoe na ujaribu tena.</translation>
<translation id="1298199220304005244">Pata msaada unapotumia Chromium OS</translation>
<translation id="1396446129537741364">Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri.</translation>
<translation id="1403254041219632970">Matoleo ya siku za usoni ya Chromium hayatatumia tena Mac OS X 10.6, 10.7, au 10.8.</translation>
<translation id="1414495520565016063">Umeingia kwenye Chromium!</translation>
<translation id="1444754455097148408">Leseni za programu huria kwenye Chromium</translation>
<translation id="1480489203462860648">Ijaribu, tayari imesakinishwa</translation>
<translation id="151962892725702025">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.</translation>
<translation id="1559451348202814456">Huenda Chromium isifanye kazi vizuri kwa sababu haitumiki tena kwenye Mac OS X 10.6, 10.7, au 10.8.</translation>
<translation id="1644918877723739397">Chromium itahifadhi nenosiri hili katika <ph name="SAVED_PASSWORD_LINK" /> na kulikumbuka wakati ujao utakapolihitaji.</translation>
<translation id="1653828314016431939">Sawa - Anzisha upya sasa</translation>
<translation id="1668054258064581266">Baada ya kuondoa akaunti yako kwenye Chromium, huenda ukahitajika kupakia upya vichupo vyako vilivyo wazi ili kuanza kufanya kazi.</translation>
<translation id="1688750314291223739">Sanidi Usawazishaji ili uhifadhi vipengele vyako vya kivinjari vilivyobinafsishwa kwenye mtandao na uvifikie kutoka Chromium katika kompyuta yoyote</translation>
<translation id="1699664235656412242">Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium (pamoja na yaliyo kwenye modi ya Window 8) na ujaribu tena.</translation>
<translation id="1708666629004767631">Kuna toleo jipya, na salama linalopatikana la Chromium.</translation>
<translation id="1725059042853530269"><ph name="FILE_NAME" /> inaweza kudhuru hali yako ya kuvinjari, kwa hivyo Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="1774152462503052664">Acha Chromium iendeshe katika mandharinyuma</translation>
<translation id="1779356040007214683">Ili kufanya Chromium salama zaidi, tumezima baadhi ya viendelezi ambavyo havijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE" /> na ambavyo huendwa viliongezwa pasipo ridhaa yako.</translation>
<translation id="1808667845054772817">Sakinisha Chromium Upya</translation>
<translation id="1816404578968201294">Chromium inahitaji idhini ya kufikia mahali ili ipashiriki na tovuti hii.</translation>
<translation id="1869480248812203386">Unaweza kusaidia kuifanya Chromium salama na rahisi zaidi kutumia kwa kuripoti maelezo ya uwezekano wa matukio yasiyo salama kwa Google kiotomatiki.</translation>
<translation id="1881322772814446296">Unaingia katika akaunti ukitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Chromium. Data yako ya Chromium, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio nyingine itahusishwa na<ph name="USER_NAME" /> kabisa. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuunganisha data hii na akaunti nyingine. Unaweza kwa hiari kuunda wasifu mpya ili kuweka data yako ya Chromium iliyo kando. <ph name="LEARN_MORE" /></translation>
<translation id="1929939181775079593">Chromium haiamiliki. Zindua upya sasa?</translation>
<translation id="1967743265616885482">Kijenzi kilicho na jina sawa kimejulikana kuwa na ukinzani na Chromium.</translation>
<translation id="2061399003623151192">{NUM_ITEMS,plural, =1{Hatua hii itafuta kabisa angalau kipengee $1 kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chromium ukitumia $2.}other{Hatua hii itafuta kabisa angalau vipengee $1 kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chromium ukitumia $2.}}</translation>
<translation id="2077129598763517140">Tumia uongezaji kasi wa maunzi wakati unapatikana</translation>
<translation id="2103655854491303969">Kifungua Programu cha Chromium kinatoweka.</translation>
<translation id="2117181891440368863">Chromium ilithibitisha kuwa <ph name="ISSUER" /> ndiye mtoa cheti cha tovuti hii. Seva ilitoa maelezo ya Cheti cha Uwazi, lakini hayakuwa sahihi.</translation>
<translation id="2119636228670142020">Kuhusu Chromium OS</translation>
<translation id="2158734852934720349">Leseni za programu huria kwenye Chromium OS</translation>
<translation id="2241627712206172106">Kama unatumia kompyuta pamoja na wengine, marafiki na familia wanaweza kuvinjari tofauti na kusanidi Chromium jinsi wapendavyo.</translation>
<translation id="225614027745146050">Karibu</translation>
<translation id="2316129865977710310">La, asante</translation>
<translation id="2347108572062610441">Kiendelezi hiki kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium.</translation>
<translation id="2372704305038231957">Huenda Chromium ya 32-bit haitafanya kazi vizuri kwa sababu haitumiki tena kwenye mfumo wa Linux. Tafadhali pata toleo jipya la Chromium la 64-bit.</translation>
<translation id="2389622953163669926">{NUM_DOWNLOAD,plural, =1{Kipakuliwa kinaendelea kwa sasa. Unataka kughairi kipakuliwa na kuondoka Chromium?}other{Vipakuliwa # vinaendelea kwa sasa. Unataka kughairi vipakuliwa na kuondoka Chromium?}}</translation>
<translation id="2396765026452590966">Kiendelezi hiki "<ph name="EXTENSION_NAME" />" kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium.</translation>
<translation id="2483889755041906834">Katika Chromium</translation>
<translation id="2485422356828889247">Ondoa</translation>
<translation id="2486653164587200256">Huenda Chromium isifanye kazi vizuri kwa sababu haitumiki tena kwenye Windows XP au Windows Vista.</translation>
<translation id="2535480412977113886">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.</translation>
<translation id="2558641060352364164">Tovuti hii inatumia programu-jalizi ya Fremu ya Chromium ambayo haitaweza kutumika hivi karibuni. Tafadhali iondoe na upate toleo jipya la kivinjari cha kisasa.</translation>
<translation id="2572494885440352020">Kisaidizi cha Chromium</translation>
<translation id="2595977381794111014">Tumia njia ya mkato ya <ph name="APPS_ICON_IMAGE" /> katika sehemu ya alamisho za Chromium ili uendelee kufikia programu zako.</translation>
<translation id="2636877269779209383">Chromium inahitaji idhini ya kufikia kamera ili iishiriki na tovuti hii.</translation>
<translation id="2648074677641340862">Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji imetokea wakati wa usakinishaji. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="2685838254101182273">Chromium imekoma kusasisha na haiwezi kutumiwa tena na toleo hili la mfumo wako wa uendeshaji.</translation>
<translation id="2705212601509139398">Tovuti hii inatumia programu-jalizi ya Fremu ya Chromium ambayo haitaweza kutumika hivi karibuni. Tafadhali iondoe na upakue kivinjari kinachooana.</translation>
<translation id="2711502716910134313">Kichupo cha Chromium</translation>
<translation id="2770231113462710648">Badilisha kivinjari chaguo msingi kiwe:</translation>
<translation id="2801146392936645542"><ph name="FILE_NAME" /> ni hasidi, na Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="2847479871509788944">Ondoa kwenye Chromium...</translation>
<translation id="2886012850691518054">Si lazima: Saidia kuboresha Chromium kwa kutumia Google takwimu za matumizi na ripoti wakati wowote huduma hii inapoacha kufanya kazi.</translation>
<translation id="2910007522516064972">Kuhusu Chromium</translation>
<translation id="2966088006374919794">Chromium inahitaji kuzindua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya <ph name="SCHEME" />. Kiungo kilichoombwa ni <ph name="PROTOLINK" />.</translation>
<translation id="3032787606318309379">Inaongeza kwenye Chromium...</translation>
<translation id="3046695367536568084">Unapaswa kuwa umeingia katika akaunti ya Chromium ili utumie programu hizi. Hii inaruhusu Chromium kusawazisha programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine katika vifaa vyote.</translation>
<translation id="3068515742935458733">Saidia kuboresha Chromium kwa kutuma ripoti za kuacha kufanya kazi na <ph name="UMA_LINK" /> kwenda Google</translation>
<translation id="3103660991484857065">Kisakinishi kilishindwa kufinyuza kumbukumbu. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="3130323860337406239">Chromium inatumia maikrofoni yako.</translation>
<translation id="313551035350905294">Unaingia kwa kutumia akaunti inayodhibitiwa na kutoa ruhusa msimamizi wake adhibiti wasifu wako kwenye Chromium. Data yako kwenye Chromium, kama vile programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine itasalia kabisa kwenye <ph name="USER_NAME" />. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti ya Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine.</translation>
<translation id="3190315855212034486">Lo! Chromium imevurugika. Unataka kuzindua upya sasa?</translation>
<translation id="3256316712990552818">Imenakiliwa kwenye Chromium</translation>
<translation id="3258596308407688501">Chromium haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:
<ph name="USER_DATA_DIRECTORY" /></translation>
<translation id="328888136576916638">Funguo za Google API zinakosekana. Utendaji fulani wa Chromium utazimwa.</translation>
<translation id="3296368748942286671">Endelea kuendesha programu za mandharinyuma wakati Chromium imefungwa</translation>
<translation id="3312805357485578561">Chromium imegundua tabia isiyo ya kawaida</translation>
<translation id="331951419404882060">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kutokana na hitilafu wakati wa kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="3360567213983886831">Chromium Binaries</translation>
<translation id="3509308970982693815">Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="352783484088404971">Ondoa Kwenye Chromium...</translation>
<translation id="3549345495227188780">Anza kutumia Chromium OS</translation>
<translation id="3582788516608077514">Inasasisha Chromium...</translation>
<translation id="358997566136285270">Nembo ya Chromium</translation>
<translation id="3645040538872234961">Hatua hii itafuta kabisa data yako ya kuvinjari kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chromium ukitumia $2.</translation>
<translation id="3738139272394829648">Gusa ili Utafute</translation>
<translation id="3748537968684000502">Unatazama ukurasa salama wa Chromium.</translation>
<translation id="378917192836375108">Chromium hukuruhusu kubofya nambari ya simu kwenye wavuti na kuipiga kwa Skype.</translation>
<translation id="3848258323044014972"><ph name="PAGE_TITLE" /> - Chromium</translation>
<translation id="3849925841547750267">Cha kusikitisha, mipangilio yako ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kinapoendesha. Ili kuleta mipangilio hiyo kwenye Chromium, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea.</translation>
<translation id="3883381313049582448">Tumia nenosiri lililozalishwa na Chromium</translation>
<translation id="3889543394854987837">Bofya jina lako ili ufungue Chromium na uanze kuvinjari.</translation>
<translation id="390894725198123737">Kwenye Mac, manenosiri yanaweza kuhifadhiwa kwenye Msururu wako wa kitufe na yanaweza kufikiwa au kusawazishwa na watumiaji wengine wa Chromium wanaoshiriki akaunti hii ya OS X.</translation>
<translation id="4050175100176540509">Maboresho muhimu ya usalama na vipengele vipya vinapatikana katika toleo jipya.</translation>
<translation id="4077262827416206768">Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na uizindue upya Chromium ili mabadiliko haya yaanze kufanya kazi.</translation>
<translation id="4207043877577553402"><ph name="BEGIN_BOLD" />Ilani:<ph name="END_BOLD" /> Chromium haiwezi kuzuia viendelezi kurekodi historia yako ya kuvinjari. Ili kuzima kiendelezi hiki katika hali fiche, ondoa tiki kwenye chaguo hili.</translation>
<translation id="421369550622382712">Gundua programu, michezo, viendelezi na mandhari bora ya Chromium.</translation>
<translation id="4222580632002216401">Sasa umeingia kwenye Chromium! Usawazishaji umezimwa na msimamizi wako.</translation>
<translation id="4224199872375172890">Chromium imesasishwa.</translation>
<translation id="4230135487732243613">Ungependa kuunganisha data yako ya Chromium kwenye akaunti hii?</translation>
<translation id="4246125976471362530">{SECONDS,plural, =1{Chromium itazimika na kuwaka tena baada ya sekunde 1.}other{Chromium itazimika na kuwaka tena baada ya sekunde #.}}</translation>
<translation id="4285930937574705105">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Chromium inaendesha sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena.</translation>
<translation id="4330585738697551178">Kijenzi hiki kinajulikana kwa kuwa na ukinzani na Chromium.</translation>
<translation id="4423735387467980091">Dhibiti na ugeuze Chromium ikufae</translation>
<translation id="4458285410772214805">Tafadhali toka na uingie tena ili mabadiliko haya yafanye kazi.</translation>
<translation id="4549794359424059447">Matoleo ya siku za usoni ya Chromium hayatatumia tena Windows XP au Windows Vista.</translation>
<translation id="4567424176335768812">Umeingia katika akaunti kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" />. Sasa unaweza kupata alamisho, historia, na mipangilio yako mingine kwenye vifaa vyako vyote vilivyoingia katika akaunti.</translation>
<translation id="457845228957001925">Maelezo muhimu kuhusu data yako ya Chromium</translation>
<translation id="459535195905078186">Programu za Chromium</translation>
<translation id="4621240073146040695">Inakaribia kukamilisha kusasishwa! Anzisha Chromium upya ili ukamilishe kusasisha.</translation>
<translation id="4677944499843243528">Wasifu unaonekana kuwa unatumika na mchakato mwingine wa Chromium (<ph name="PROCESS_ID" />) kwenye kompyuta nyingine (<ph name="HOST_NAME" />). Chromium imefunga wasifu huu ili usifisidiwe. Kama una uhakika hakuna michakato mingine inatumia wasifu huu, unaweza kufungua wasifu na uzindue tena Chromium.</translation>
<translation id="4743926867934016338">Kubali na Utafute</translation>
<translation id="4888717733111232871">Sheria ya ndani ya Chromium ili kuruhusu trafiki ya mDNS.</translation>
<translation id="4943838377383847465">Chromium iko katika hali ya chini chini.</translation>
<translation id="4987820182225656817">Walioalikwa wanaweza kutumia Chromium bila kuacha kitu chochote nyuma.</translation>
<translation id="4994636714258228724">Jiongeze kwenye Chrome</translation>
<translation id="5032989939245619637">Hifadhi maelezo katika Chromium</translation>
<translation id="5116586539350239523">Chromium itahifadhi salama maelezo yako ya kibinafsi ili usihitaji kuyaandika tena.</translation>
<translation id="5358375970380395591">Unaingia katika akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Chromium. Data yako ya Chromium, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio miingine itahusishwa na <ph name="USER_NAME" /> kabisa. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuunganisha data hii na akaunti nyingine. <ph name="LEARN_MORE" /></translation>
<translation id="5398878173008909840">Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana.</translation>
<translation id="5427571867875391349">Weka Chromium kuwa kivinjari chako chaguo-msingi</translation>
<translation id="5466153949126434691">Chromium husasisha kiotomatiki ili uwe na toleo jipya zaidi wakati wowote. Upakuaji huu unapokamilika, Chromium itajizima na kuwaka tena na utaanza kutumia.</translation>
<translation id="549669000822060376">Tafadhali subiri Chromium inaposakinisha sasisho mpya ya mfumo.</translation>
<translation id="5563479599352954471">Tafuta kwa mguso mmoja tu</translation>
<translation id="5620765574781326016">Pata maelezo kuhusu mada zilizo kwenye tovuti bila kuondoka kwenye ukurasa.</translation>
<translation id="5634636535844844681">Chromium inahitaji Windows 7 au toleo jipya zaidi.</translation>
<translation id="5680901439334282664">ingia katika Chromium</translation>
<translation id="5772805321386874569">(inahitaji uanzishaji upya wa <ph name="BEGIN_BUTTON" />Chromium<ph name="END_BUTTON" />)</translation>
<translation id="5796460469508169315">Chromium inakaribia kuwa tayari.</translation>
<translation id="5820394555380036790">Chromium OS</translation>
<translation id="5823381412099532241">Chromium haikuweza kupata toleo jipya, kwa hivyo unakosa vipengele vipya vizuri na marekebisho ya usalama. Unahitaji kupata toleo jipya la Chromium.</translation>
<translation id="5859963531214966875">Matoleo ya baadaye ya Chromium hayatatumia tena mfumo huu wa Linux.</translation>
<translation id="5862307444128926510">Karibu kwenye Chromium</translation>
<translation id="5877064549588274448">Kituo kimebadilishwa. Zima na uwashe kifaa chako ili mabadiliko yaanze kutumika.</translation>
<translation id="5906655207909574370">Inakaribia kukamilisha kusasishwa! Zima na uwashe kifaa chako ili ukamilishe kusasisha.</translation>
<translation id="5942225298871134766">Chromium itahifadhi nenosori hili katika <ph name="SAVED_PASSWORD_LINK" /> na kulikumbuka wakati ujao utakapolihitaji.</translation>
<translation id="5942520288919337908"><ph name="EXTENSION_NAME" /> imeongezwa kwenye Chromium.</translation>
<translation id="59625444380784159">Maelezo kutoka kwa anwani zako yanaweza kukusaidia kujaza fomu kwa haraka zaidi katika Chromium.</translation>
<translation id="6055895534982063517">Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana, na ni la kasi kuliko la awali.</translation>
<translation id="6077017812234345835">Hatua hii itafuta kabisa angalau vipengee <ph name="TOTAL_COUNT" /> kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chromium ukitumia $2.</translation>
<translation id="608189560609172163">Chromium haikuweza kusawazisha data yako kutokana na hitalafu ya kuingia katika akaunti.</translation>
<translation id="6212496753309875659">Kompyuta hii tayari ina toleo la hivi punde la Chromium. Ikiwa programu haifanyikazi, tafadhali sanidua Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="6248213926982192922">Fanya Chromium kuwa kivinjari chaguo-msingi</translation>
<translation id="6309712487085796862">Chromium inatumia kamera yako.</translation>
<translation id="6334986366598267305">Sasa ni rahisi zaidi kutumia Chromium pamoja na Akaunti yako ya Google na kwenye kompyuta zinazoshirikiwa.</translation>
<translation id="6373523479360886564">Je, una hakika unataka kusanidua Chromium?</translation>
<translation id="6394232988457703198">Unapaswa kuzima na kuwasha Chromium sasa.</translation>
<translation id="6403826409255603130">Chromium ni kivinjari cha wavuti kinachoendesha kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni ya haraka, imara, na rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi dhidi ya hadaa na programu hasidi ukiwa na ulinzi uliojengwa ndani ya Chromium.</translation>
<translation id="6475912303565314141">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium.</translation>
<translation id="6485906693002546646">Unatumia <ph name="PROFILE_EMAIL" /> kusawazisha vitu vyako vya Chromium. Ili usasishe mapendeleo yako ya usawazishaji au utumie Chromium bila akaunti ya Google, tembelea <ph name="SETTINGS_LINK" />.</translation>
<translation id="6510925080656968729">Sanidua Chromium</translation>
<translation id="6526111688217511984">Chromium inahitaji idhini ya kufikia hifadhi ili ipakue faili.</translation>
<translation id="6584627348340620412">Matoleo ya baadaye ya Chromium ya 32-bit hayatatumia tena mfumo huu wa Linux, tafadhali pata toleo jipya la Chromium la 64-bit.</translation>
<translation id="6593914713218535185">Huenda Chromium haitafanya kazi vizuri kwa sababu haitumiki tena kwenye mfumo huu wa Linux.</translation>
<translation id="6637001341228460105">Chromium inahitaji idhini ya kufikia maikrofoni ili iishiriki na tovuti hii.</translation>
<translation id="6638567566961868659">Pata alamisho zako katika menyu ya Chromium au kwenye upau wa alamisho.</translation>
<translation id="6676384891291319759">Fika kwenye wavuti</translation>
<translation id="6717134281241384636">Wasifu wako hauwezi kutumiwa kwa sababu umetoka katika toleo jipya la Chromium.
Baadhi ya vipengele huenda visipatikane. Tafadhali bainisha saraka tofauti ya wasifu au utumie toleo jipya la Chromium.</translation>
<translation id="6734080038664603509">Sasisha &amp;Chromium</translation>
<translation id="6757767188268205357">Usinisumbue</translation>
<translation id="6810143991807788455">Saidia kuboresha Chromium kwa kuripoti mipangilio ya sasa</translation>
<translation id="6838494703713445896">Chromium ilithibitisha kuwa <ph name="ISSUER" /> ndiye mtoa cheti cha tovuti hii. Seva ilitoa maelezo sahihi ya Cheti cha Uwazi.</translation>
<translation id="6857782730669500492">Chromium - <ph name="PAGE_TITLE" /></translation>
<translation id="6883876366448858277">hutuma neno na muktadha wake kwenye Tafuta na Google, kurejesha ufafanuzi, picha, na matokeo mengine ya utafutaji.</translation>
<translation id="6893813176749746474">Chromium imesasishwa, lakini hujaitumia angalau kwa siku 30.</translation>
<translation id="6930860321615955692">https://support.google.com/chrome/?p=ib_chromeframe</translation>
<translation id="6944967875980567883">Vipengee vilivyopakiwa kwenye Chromium</translation>
<translation id="6970811910055250180">Inasasisha kifaa chako...</translation>
<translation id="7027298027173928763">Chromium haikuweza kupata toleo jipya, kwa hivyo unakosa vipengele vipya vizuri na marekebisho ya usalama. Unahitaji kusakinisha Chromium tena mwenyewe.</translation>
<translation id="705851970750939768">Sasisha Chromium</translation>
<translation id="7064610482057367130">Hakuna usakinishi wa Chromium uliopatikana kusasishwa.</translation>
<translation id="7066436765290594559">Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli ya siri unayotumia kusawazisha.</translation>
<translation id="7114836556269756734">{NUM_ITEMS,plural, =1{Hatua hii itafuta kabisa kipengee $1 kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chromium ukitumia $2.}other{Hii itafuta kabisa vipengee $1 kwenye kifaa hiki. Ili urejeshe data yako baadaye, ingia katika Chromium ukitumia $2.}}</translation>
<translation id="7138853919861947730">Huenda Chromium ikatumia huduma za wavuti kuboresha utumizi wako wa kuvinjari.</translation>
<translation id="7162152143154757523">Chromium inaweza kutoa ukaguzi bora wa tahajia kwa kutuma unachocharaza katika kivinjari hadi kwenye seva za Google, ikikuruhusu kutumia teknolojia hiyo hiyo ya kukagua tahajia inayotumiwa na utafutaji wa Google.</translation>
<translation id="7178626992616222740">Chromium ilithibithisha kuwa <ph name="ISSUER" /> ndiye mtoa cheti cha tovuti hii. Seva ilitoa maelezo ya Cheti cha Uwazi, lakini Chromium haikutambua kumbukumbu zozote za Cheti cha Uwazi.</translation>
<translation id="7196020411877309443">Ni kwa kwa nini ninaona hii?</translation>
<translation id="7205698830395646142">Ficha katika Menyu ya Chromium</translation>
<translation id="7211828883345145708">Inawezesha mikato ya kibodi ambayo ni muhimu kwa kutatua Chromium.</translation>
<translation id="7223968959479464213">Kidhibiti cha Shughuli - Chromium</translation>
<translation id="722928257909516027">Onyesha menyu ya Chromium</translation>
<translation id="731644333568559921">Sasisha Chromium OS</translation>
<translation id="7318036098707714271">Faili yako ya mapendeleo imeharibika au ni batili.
Chromium haiwezi kufufua mipangilio yako.</translation>
<translation id="7337881442233988129">Chromium</translation>
<translation id="7339898014177206373">Dirisha jipya</translation>
<translation id="734373864078049451">Wavuti, alamisho, na mambo yako mengine ya Chromium yanapatikana hapa.</translation>
<translation id="7344413941077984497">Ili uweke tovuti ambazo <ph name="NEW_PROFILE_NAME" /> anaweza kuona, unaweza kuweka mipangilio ya vikwazo kwa kutembelea <ph name="BEGIN_LINK_1" /><ph name="DISPLAY_LINK" /><ph name="END_LINK_1" />. Usipobadilisha mipangilio chaguo-msingi, <ph name="NEW_PROFILE_NAME" /> anaweza kuvinjari kila kitu kwenye wavuti.
Ili umzuie <ph name="NEW_PROFILE_NAME" /> asifikie akaunti yako, hakikisha kuwa umefunga wasifu wako wakati hutumii Chromium. Ili kufunga wasifu wako, bofya jina la wasifu wako kwenye upande wa juu kulia mwa kivinjari chako na uchague "Ondoka kwenye wasifu wa sasa."
<ph name="BEGIN_LINK_2" />Pata maelezo zaidi<ph name="END_LINK_2" />
Tafadhali angalia barua pepe yako katika <ph name="ACCOUNT_EMAIL" /> upate maagizo zaidi.</translation>
<translation id="7419987137528340081">Iwapo unapendelea kutenganisha data yako iliyopo ya Chromium, unaweza kuingiza mtumiaji mpya wa Chromium kwa <ph name="USER_NAME" />.</translation>
<translation id="7421823331379285070">Chromium inahitaji Windows XP au toleo la awali. Huenda vipengele vingine visifanye kazi.</translation>
<translation id="7473891865547856676">La Asante</translation>
<translation id="7483335560992089831">Haiwezi kusakinisha toleo sawia la Chromium ambalo linaendeshwa hivi sasa. Tafadhali funga Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="750717762378961310">Faili hili ni hasidi, na Chromium imeizuia.</translation>
<translation id="7549178288319965365">Kuhusu Chromium OS</translation>
<translation id="7577193603922410712">Sasisho maalum la usalama wa Chromium limetumiwa; unapaswa kuzima na kuwasha Chromium sasa ili lifanye kazi (tutarejesha vichupo vyako).</translation>
<translation id="761356813943268536">Chromium inatumia kamera na maikrofoni yako.</translation>
<translation id="7617377681829253106">Chromium imeboreshwa</translation>
<translation id="7641113255207688324">Chromium si kivinjari chako chaguo-msingi.</translation>
<translation id="7729447699958282447">Chromium haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.</translation>
<translation id="7747138024166251722">Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu.</translation>
<translation id="7918535023914021398">Chromium ilithibitisha kuwa <ph name="ISSUER" /> ndiye mtoa cheti cha tovuti hii. Seva haikutoa maelezo yoyote ya Cheti cha Uwazi.</translation>
<translation id="7937630085815544518">Uliingia kwenye Chromium kama <ph name="USER_EMAIL_ADDRESS" />. Tafadhali tumia akaunti hiyo hiyo kuingia tena.</translation>
<translation id="795025003224538582">Usianzishe upya</translation>
<translation id="7962572577636132072">Chromium husasisha kiotomatiki, kwa hivyo, utakuwa na toleo jipya zaidi wakati wowote.</translation>
<translation id="7979877361127045932">Ficha katika menyu ya Chromium</translation>
<translation id="8030318113982266900">Inasasisha kituo chako kwenda kituo cha <ph name="CHANNEL_NAME" />...</translation>
<translation id="8033665941300843262">Chromium inahitaji idhini ya kufikia ruhusa ili izishiriki na tovuti hii.</translation>
<translation id="8134284582177628525">Ukishiriki kompyuta hii na <ph name="PROFILE_NAME" />, jiongeze kwenye Chromium ili uvinjari tofauti. Vinginevyo ondoa Akaunti yake ya Google.</translation>
<translation id="8269379391216269538">Saidia ili kuiboresha Chromium</translation>
<translation id="8453117565092476964">Kumbukumbu ya kisakinishi imeharibika au ni batili. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="8493179195440786826">Chromium Imepitwa na Wakati</translation>
<translation id="85843667276690461">Pata msaada kwa kutumia Chromium</translation>
<translation id="8586442755830160949">Hakimiliki <ph name="YEAR" /> Wasanidi wa Chromium. Haki zote zimehifadhiwa.</translation>
<translation id="8621669128220841554">Usakinishaji ulishindwa kwa sababu ya hitilafu isiyobainika. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="8628626585870903697">Chromium haijumuishi kitazamaji cha PDF kinachohitajika ili Uhakiki wa Uchapishaji ufanye kazi.</translation>
<translation id="8667808506758191620">Kifaa chako cha <ph name="DEVICE_TYPE" /> kimesasishwa.</translation>
<translation id="8697124171261953979">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium au unapotafuta kutoka Sanduku Kuu.</translation>
<translation id="8704119203788522458">Hii ni Chromium yako</translation>
<translation id="872034308864968620">Acha Chromium Iendelee Katika Madnarinyuma</translation>
<translation id="8803635938069941624">Masharti ya Chromium OS</translation>
<translation id="8821041990367117597">Chromium haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.</translation>
<translation id="8823523095753232532">Unganisha data yangu ya Chromium kwenye akaunti hii</translation>
<translation id="8851136666856101339">kuu</translation>
<translation id="8862326446509486874">Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta.</translation>
<translation id="8897323336392112261">Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium au unapobofya kitufe cha Mwanzo.</translation>
<translation id="8907580949721785412">Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri. Chapa nenosiri lako la Windows ili uruhusu hili.</translation>
<translation id="894903460958736500">Programu unayotumia kwenye kompyuta haioani na Chromium.</translation>
<translation id="8974095189086268230">Chromium OS imewezeshwa na programu za ziada za <ph name="BEGIN_LINK_CROS_OSS" />programu huria<ph name="END_LINK_CROS_OSS" />.</translation>
<translation id="8985587603644336029">Awali kuna mtu aliingia katika Chromium kwenye kompyuta hii kama <ph name="ACCOUNT_EMAIL_LAST" />. Iwapo hiyo si akaunti yako, fungua mtumiaji mwengine wa Chromium ili utenge maelezo yako.
Kuingia bila kujali kutaunganisha maelezo ya Chromium kama vile alamisho, historia, na mipangilio mingine kwenye <ph name="ACCOUNT_EMAIL_NEW" />.</translation>
<translation id="9013087743919948559">Ongeza kwenye Chromium</translation>
<translation id="9019929317751753759">Ili kufanya Chromium salama zaidi, tumezima kiendelezi kinachofuata ambacho hakijaorodheshwa katika <ph name="IDS_EXTENSION_WEB_STORE_TITLE" /> na huenda kimeongezwa bila ridhaa yako.</translation>
<translation id="9022552996538154597">Ingia kwenye Chromium</translation>
<translation id="9036189287518468038">Kizinduzi cha Programu ya Chromium</translation>
<translation id="9089354809943900324">Chromium imepitwa na wakati</translation>
<translation id="911206726377975832">Futa historia yako ya kuvinjari pia?</translation>
<translation id="918373042641772655">Kuondoa <ph name="USERNAME" /> kutafuta historia, alamisho, mipangilio, na data zako nyingine kwenye Chromium zilizohifadhiwa kwenye kifaa hiki. Data iliyohifadhiwa katika Akaunti ya Google haitafutwa na inaweza kudhibitiwa kwenye <ph name="GOOGLE_DASHBOARD_LINK" />Dashibodi ya Google<ph name="END_GOOGLE_DASHBOARD_LINK" />.</translation>
<translation id="9190841055450128916">Chromium (mDNS-In)</translation>
<translation id="9197815481970649201">Sasa umeingia kwenye Chromium</translation>
<translation id="95514773681268843"><ph name="DOMAIN" /> huhitaji usome na ukubali Sheria na Masharti yafuatayo kabla ya kutumia kifaa hiki. Masharti haya hayapanui, kurekebisha au kupunguza Masharti ya Chromium OS.</translation>
<translation id="985602178874221306">Waandishi wa Chromium</translation>
</translationbundle>