blob: 9b0a2882c9242bec4d6852112add910c453641b2 [file] [log] [blame]
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1041985745423354926">Unaweza kurejesha ukitumia hifadhi ya nje kama vile hifadhi ya USB au kadi ya SD.</translation>
<translation id="1159332245309393502">Weka mipangilio ya hifadhi yako ya nje</translation>
<translation id="1201402288615127009">Endelea</translation>
<translation id="1252150473073837888">Thibitisha kurudi kwenye hali salama</translation>
<translation id="1321620357351949170">Chagua jaribio ambalo ungependa kutekeleza.</translation>
<translation id="1389402762514302384">Chagua 'Ghairi' ili uendelee kulindwa.</translation>
<translation id="1428255359211557126">Ukaguzi wa hifadhi (wa haraka)</translation>
<translation id="1483971085438511843">Tumia kitufe cha Enter ili kuteua chaguo.</translation>
<translation id="1931763245382489971">3. Bofya 'endelea' wakati kifaa cha hifadhi yako ya nje kiko tayari na picha ya kurejesha</translation>
<translation id="1932315467893966859">Tayari hali ya wasanidi programu imewashwa.</translation>
<translation id="1995660704900986789">Zima</translation>
<translation id="2022309272630265316">Hakuna picha sahihi iliyotambuliwa</translation>
<translation id="2076174287070071207">Unaweza kurejesha ukitumia hifadhi ya nje kama vile hifadhi ya USB, kadi ya SD au ukitumia simu yako ya Android.</translation>
<translation id="2164852388827548816">Kumbukumbu ya programu dhibiti</translation>
<translation id="2176647394998805208">Washa kutoka kwenye diski ya nje</translation>
<translation id="2188090550242711688">2. Fuata maagizo yaliyo kwenye kiendelezi cha Chrome na upakue picha ya kurejesha kwenye hifadhi ya nje</translation>
<translation id="2270126560545545577">Uko katika hali ya wasanidi programu</translation>
<translation id="2360163367862409346">Hatua hii inajumuisha kufuta data yote kwenye kifaa chako na itafanya kifaa chako kisiwe salama.</translation>
<translation id="2398688843544960326">Haijapata programu mbadala ya kuwasha mfumo wa uendeshaji. Ili upate maelezo kuhusu jinsi ya kuisakinisha, tazama:</translation>
<translation id="2445391421565214706">Ili ujaribu kurekebisha tatizo, anzisha mchakato wa kurejesha. Ondoa vifaa vyote vilivyounganishwa, kisha ubonyeze na ushikilie vitufe vya Kuongeza Sauti, Kupunguza Sauti na Kuwasha/Kuzima ( ⏻ ) kwa angalau sekunde 10.</translation>
<translation id="2531345960369431549">Chaguo hili litazima hali ya wasanidi programu na kurejesha kifaa chako katika hali yake halisi.</translation>
<translation id="2603025384438397887">Kurejesha kwa kutumia simu</translation>
<translation id="2904079386864173492">Aina:</translation>
<translation id="3174560100798162637">Tunapendekeza uunganishe kifaa chako kwenye chaja.</translation>
<translation id="3235458304027619499">1. Kifaa cha hifadhi ya nje kama vile Hifadhi ya USB au kadi ya SD</translation>
<translation id="328213018570216625">Kurejesha kwa kutumia hifadhi ya nje</translation>
<translation id="3289365543955953678">Weka diski yako ya nje</translation>
<translation id="3294574173405124634">Vitia alama vya GBB haviruhusu kurejea katika hali salama.</translation>
<translation id="3416523611207622897">Kipengele cha kuwasha kwa kutumia kifaa cha nje kimezimwa. Kwa maelezo zaidi, tazama:</translation>
<translation id="3635226996169670741">Ili ujaribu kurekebisha tatizo, anzisha mchakato wa kurejesha. Ondoa vifaa vyote vilivyounganishwa, kisha ubonyeze na ushikilie vitufe vya "Esc", "Refresh" ( ⟳ ) na kitufe cha Kuwasha/Kuzima ( ⏻ ).</translation>
<translation id="3697087251845525042">Jaribio la nafasi ya hifadhi linalofanywa na mfumo wenyewe (linachukua muda mfupi)</translation>
<translation id="385051799172605136">Rudi nyuma</translation>
<translation id="3964506597604121312">Data yako ya mtumiaji itafutwa katika mchakato huu.</translation>
<translation id="4002335453596341558">Ukurasa mmoja chini</translation>
<translation id="4152977630022273265">Hakikisha kuwa diski yako ya nje ina nakala sahihi ya Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome na uiweke tena ikiwa tayari.</translation>
<translation id="4403160275309808255">Programu mbadala za kuwasha mfumo wa uendeshaji zimezimwa. Kwa maelezo zaidi, tazama:</translation>
<translation id="4410491068110727276">Tumia vitufe vya sauti ili kusogeza juu au chini.</translation>
<translation id="4497270882390086583">Unaweza kurejesha ukitumia hifadhi ya nje kama vile hifadhi ya USB au ukitumia simu yako ya Android.</translation>
<translation id="4773280894882892048">Maelezo ya utatuzi</translation>
<translation id="4815374450404670311">Ukaguzi wa hifadhi (kamili)</translation>
<translation id="4834079235849774599">2. Kifaa kingine kilicho na uwezo wa kufikia intaneti</translation>
<translation id="4989087579517177148">Chagua jinsi ungependa kurejesha.</translation>
<translation id="5019112228955634706">3. Chanzo cha nishati ya kifaa hiki</translation>
<translation id="5175612852476047443">Tafadhali usizimie kifaa chako</translation>
<translation id="5232488980254489397">Anzisha uchunguzi</translation>
<translation id="5341719174140776704">1. Simu ya Android iliyo na uwezo wa kufikia intaneti</translation>
<translation id="5477875595374685515">Imeshindwa kupata kumbukumbu ya programu dhibiti.</translation>
<translation id="5592705604979238266">Kituo cha usaidizi:</translation>
<translation id="5649741817431380014">Hakikisha kuwa simu yako inatumia programu ya kurejesha ya Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome au diski yako ya nje ina picha sahihi ya kurejesha. Weka tena kebo au diski ikiwa tayari.</translation>
<translation id="5809240698077875994">Bonyeza kitufe cha Kuwasha/Kuzima ili uwashe hali ya wasanidi programu au uchague 'Ghairi' ili uendelee kulindwa.</translation>
<translation id="586317305889719987">Ili urudi kwenye hali salama inayopendekezwa, chagua “Rudi kwenye hali salama” hapa chini.</translation>
<translation id="5874367961304694171">Unganisha kifaa cha hifadhi yako ya nje</translation>
<translation id="5947425217126227027">Pakua programu ya kurejesha ya Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome kwenye simu yako ya Android kwa kuchomeka simu yako au kwa kuchanganua msimbo wa QR upande wa kulia. Baada ya kufungua programu, unganisha simu yako kwenye kifaa chako na mchakato wa kurejesha utaanza kiotomatiki.</translation>
<translation id="6172915643608608639">Washa kutoka kwenye diski ya ndani</translation>
<translation id="6191358901427525316">Jitayarishe kurejesha kifaa chako. Utahitaji:</translation>
<translation id="635783852215913562">Tumia vitufe vya vishale ili kusogeza juu au chini.</translation>
<translation id="6448938863276324156">Unaweza kurejesha ukitumia hifadhi ya nje kama vile hifadhi ya USB.</translation>
<translation id="6972383785688794804">Ukurasa mmoja juu</translation>
<translation id="7065553583078443466">Chagua programu mbadala ya kuwasha mfumo wa uendeshaji</translation>
<translation id="7126032376876878896">Tumia kitufe cha kuwasha/kuzima ili kuteua chaguo.</translation>
<translation id="7154775592215462674">1. Kifaa cha hifadhi ya nje kama vile Hifadhi ya USB</translation>
<translation id="7157640574359006953">Chomeka diski yako ya nje yenye picha ya Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome. Itawashwa kiotomatiki.</translation>
<translation id="7187861267433191629">Mfumo wako unaweka sasisho muhimu.</translation>
<translation id="7236073510654217175">Rudi kwenye hali salama</translation>
<translation id="7321387134821904291">Maelezo kuhusu hali ya nafasi ya hifadhi</translation>
<translation id="7342794948394983731">Zana za uchunguzi</translation>
<translation id="7352651011704765696">Hitilafu fulani imetokea</translation>
<translation id="7365121631770711723">2. Kebo ya USB inayounganisha simu yako na kifaa hiki</translation>
<translation id="7420576176825630019">Washa hali ya wasanidi programu</translation>
<translation id="7567414219298075193">Ili ujaribu kurekebisha tatizo, anzisha mchakato wa kurejesha. Ondoa vifaa vyote vilivyounganishwa, bonyeza na ushikilie kitufe cha Kurejesha, bonyeza na uachilie kitufe cha Kuwasha/Kuzima ( ⏻ ), kisha uachilie kitufe cha Kurejesha.</translation>
<translation id="7638747526774710781">1. Nenda kwenye google.com/chromeos/recovery katika kifaa kingine na usakinishe kiendelezi cha Chrome</translation>
<translation id="7658239707568436148">Ghairi</translation>
<translation id="7939062555109487992">Chaguo mahiri</translation>
<translation id="8011335065515332253">Baada ya muda kuisha, kifaa kitawaka kiotomatiki kutoka kwenye chaguo hapa chini.</translation>
<translation id="8027199195649765326">Bonyeza kitufe cha Kurejesha kwenye Chromebox yako ili uwashe hali ya wasanidi programu au uchague 'Ghairi' ili uendelee kulindwa.</translation>
<translation id="8101391381992690790">Hakikisha kuwa diski yako ya nje ina picha sahihi ya kurejesha na uiweke tena ikiwa tayari.</translation>
<translation id="8116993605321079294">Hitilafu fulani imetokea wakati wa kuanzisha programu mbadala ya kuwasha mfumo wa uendeshaji. Angalia kumbukumbu ya programu dhibiti ili upate maelezo.</translation>
<translation id="8131740175452115882">Thibitisha</translation>
<translation id="8199613549817472219">Acha tukuelekeze katika mchakato wa kurejesha</translation>
<translation id="8377165353588213941">Umefikia ukurasa wa mwisho</translation>
<translation id="8569584079758810124">Imeshindwa kupata maelezo ya utatuzi.</translation>
<translation id="8720490351198901261">Umefikia ukurasa wa kwanza</translation>
<translation id="8789686976863801203">Unajaribu kuwasha hali ya wasanidi programu</translation>
<translation id="8848124168564939055">Huwezi kutumia kibodi ya nje kuwasha hali ya wasanidi programu. Tafadhali tumia vitufe vilivyo kwenye kifaa vilivyobainishwa katika maelekezo ya usogezaji.</translation>
<translation id="8878311588372127478">Jaribio la nafasi ya hifadhi linalofanywa na mfumo wenyewe (linachukua muda mrefu)</translation>
<translation id="9004305007436435169">Imeshindwa kupata maelezo ya uchunguzi.</translation>
<translation id="9040266428058825675">Iwapo kifaa cha hifadhi yako ya nje kiko tayari na picha ya kurejesha, kichomeke kwenye kifaa hiki ili uanzishe mchakato wa kurejesha.</translation>
</translationbundle>